Mwenyekiti wa CCM hataki kura za "MASHETANI"?!

Tukumbuke mashetani hao hao ndo wanaopiga kura. Pili usihukumu usije ukahumumiwa(Mathayo 7:1). Kama viongozi wanaongoza mashetani(mapepo) basi TZ imajaa mapepo kweli kweli.
 
Ukweli unauma!
Ujumbe wa Gwaji bado unamvuruga Maza!
Sasa kama Shetani kama anaweza kukemea Utekaji,Uaji na Upotezaji watu,basi Ufalme wake umefitinika!
 
Samia na genge lake la wauaji, watesaji na watekaji ndio mashetani halisi
 
Yan huyu mwanamke sijui ana shida gani kichwani mwake🚮🚮🚮
 
Rais wangu Samia .kwanini usikae kimya ? Vijembe na marushiano ya maneno yako yanaleta taswira mbaya sana ...kumbuka wewe ni kiongozi wa nchi ...ebu kuwa na uvumilivu wa maneno bhasiiii !!! Kumbuka kila unachoongea kinaleta taswiswi ...kwanini usikae kimya ? Hiv unajua kwamba ukimya ni dawa ya maadui zako ? HIVI UNAWAJUA MAADUI ZAKO ?
 
Ndiyo kusema hivi vichambo ni mpaka 2030, au!!
 
GwajiBoy kwisha habari yake...
Huwezi shindana na mamlaka
 
Hategemei kura ili kubaki ikulu. Hata akipata kura 3 (ya Abdul, Hafidhi na yake) atatangazwa mshindi
 
Vipi shetani anaweza kukataa kura za wenzake au anategemea za maruhani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…