Mwenyekiti wa CCM hataki kura za "MASHETANI"?!

Samia Hana adui yeyote, tuache unafiki na ubabaifu
 
Kawaita waumini wa gwajima na wakristo wanaoamini kuwa ni mtumishi wa Mungu ambao wanafikia Milioni 20 wakiwa wana CCM na wengine hawana hata vyama kuwa ni mashetani
 
Yupo sahihi,Mama kasema ukweli hakuna kupambwa pambwa watumishi wengi ni wa michongo
 
Mie naona kama ameanda kudata.
 
We ndiyo wale "Mama unaupiga mwingi " huna baya ,unakubalika kwa wananchi " kumbe ni HOVYO KABISAAA
Mpwa, HEBU angalia posts Zangu since nijiunge hapa 2008 Hadi Leo kama nilishawahi kuwa na vinasaba na CCM
 
Rais, kama ulifikiri kukaa meza moja na malasusa ndiko kujiosha mbele ya macho ya wakristo nchini basi umeula wa chuya.

Kwanza Malasusa ana matatizo makubwa ndani ya taasisi - hakubaliki.
 
ila tukumbuke tu kuwa rais ana macho mengi, inawezekana analosema lina ukwel ndani yake.
 
Mashetani ni wale wanywa damu za watz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…