Mwenyekiti wa CCM hataki kura za "MASHETANI"?!

Samia hategemei kura.

Alishasema mkimpigia kura au msimpompigia kura CCM itashinda tu.
sasa kuna haja gani kwa mtu mwenye akili timamu kwenda kupoteza muda kuchagua kiongozi ambaye tayari amejitangazia ushindi?
 
Mualiko NI wa Muda mrefu sana, Sio kitu cha week moja Ndugu. Tulitangaziwa Kanisani Muda mrefu sana
 
Gwajiboy katajwa wapi na Mh rais?
 
Rais wa nchi kweli anakuwa mgeni rasmi kwenye ujenzi wa kituo cha watoto kweli. Mimi naona kama hicho kituo ni kidogo. Labda niambiwe kitakuwa na uwezo wa kuchukua watoto wangapi?
 
Ni Kituo kikubwa Sana na cha kipekeee kwa ukanda wa Africa
 
Wote hao ni majizi tupu. Solution ni NO REFORMS NO ELECTION
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…