Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, Mzee Maganda ametoweka, haijulikani aliko

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, Mzee Maganda ametoweka, haijulikani aliko

Wanachama wa chama cha mapinduzi, wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya, siku ya 5 Sasa haonekani.

Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
Wangetokea gangs kama wa Haiti, na wale wapambanaji shupavu wa Palestine, hamas(umkhonto we sizwe wa kia Arab), wakayateka ma ccm yote na kuyappteza, au, kuyajambisha mishuzi, Inge kuwa poa Sana.
 
Sasa hao wanachama wanamtafutaje mtu aliyepotea ofisini. Angekuwa ofisini si wangemkuta. Hawaki serious aisee
 
Nadhani ni sabaya sasa analipiza kisasi kwa waliokuwa mstari wa mbele kupambana naye wkt anasulubiwa goligotha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Si tulishakubaliana kwamba Magufuli ndo alikiwa anawpoteza na kwamba sasa tuna mama mfariji mkuu,ameimarisha demokrasia na kwamba anafungua nchi na ana upendo imekuwaje tena?
Kwn aliondoka na watenda kz?? Si hao wapo akina Bashite na Sabaya??
 
Back
Top Bottom