Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unajikuta Gen Z au siyo? 🀣🀣🀣🀣

Tanzania sio Nchi ya kuletea upumbavu.
Huwa nadharau sana nikikuta jizee kama ww unajifanya kuongea lugha za vijana wanaobalehe. "Unajikuta" ndio uchafu gani?
 
Ni kweli, lakini bado hata huyo Magufuli hakuwa anaitaka hiyo katiba mpya. Na wala hakuwa mwema kwa hiyo cdm. Kifo cha Magufuli kilikuwa ni baraka kwa nchi hii, hutaki jinyonge.
 
Apambanie familia yake fine ila sio Kwa kuharibu shughuli za wengine au amani ya Nchi.

Unataka kuleta maandamano Ili kuvuruga uchumi Ili kitokee nini?

..hata bila maandamano uchumi umevurugika. Wananchi wanalia hali ngumu ya maisha.

..binafsi sijaona sababu ya mkutano wa Chadema kuzuiliwa. Hakukuwa na jambo lolote la kutishia amani ktk maelezo yao.

..kwa upande mwingine, Act wazalendo wametoa kauli ngumu, na za kutishia serikali na muungano lakini hawakamatwi na Polisi.
 
Lililikuwepo ndio maana Polisi wamezuia,mbona wakati ule katikati ya vyrumai za Masai na DP World mliachwa mkaandamana?

Nia ovu,naunga mkono Polisi

Mwisho uchumi ulivurugwa Huwa hautoi Ajira Wala Kuzalisha Mapato,acha ujinga πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1822957833337368797?t=xpSeZWtFYeOU3F7oTPJ56A&s=19
 

..kwenye Press zote Bavicha wameeleza wanachokwenda kufanya ktk hayo maadhimisho.

..Chadema sio chama cha kuleta vurugu. Hata wapinzani wa Tanzania sio watu wa vurugu. Hivi vyama vina miaka 30+ na vimekuwepo bila matatizo yoyote.
 

..nafasi za ajira 224 katika taasisi 14 ni kidogo sana ukilinganisha na idadi ya wanaohitimu ktk vyuo mbalimbali hapa nchini.
 
..kwenye Press zote Bavicha wameeleza wanachokwenda kufanya ktk hayo maadhimisho.

..Chadema sio chama cha kuleta vurugu. Hata wapinzani wa Tanzania sio watu wa vurugu. Hivi vyama vina miaka 30+ na vimekuwepo bila matatizo yoyote.
Mlisema mnaenda kufanya maandamano
 

..wanaohitimu vyuoni ni wangapi?

..wanaoajiriwa moja kwa moja ni wangapi?

..Na walioko mtaani wanatafuta ajira ni wangapi?

..Na walioajiriwa lakini hawawezi kumudu maisha ni wangapi?

..Suala la ajira ni pana kuliko unavyoliwasilisha.

..Kwa kifupi kuna hali mbaya ya ajira hapa nchini, na CCM haina majibu.
 
Mlisema mnaenda kufanya maandamano

..sio kweli.

..Polisi na Ccm wamefanya makosa ktk hili.

..Tatizo lenu mkikosea huwa mnalazimisha kuwa hamjakosea.

..You are too slow to correct your mistakes.

..Zimefanyika Press nyingi na Chadema wameeleza nini kitafanyika, na hakukuwa na maandamano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…