mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Siasa za mwenda zake hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mlishangilia watu kufariki?Samia nchi imemshinda asaidiwe atuachie Tanganyika yetu arudi kwao akale urojo
Alipofariki si mlishangilia?Huyo ni marehemu hana Msaada kwako Kwa Sasa
Huwa nadharau sana nikikuta jizee kama ww unajifanya kuongea lugha za vijana wanaobalehe. "Unajikuta" ndio uchafu gani?Unajikuta Gen Z au siyo? 🤣🤣🤣🤣
Tanzania sio Nchi ya kuletea upumbavu.
Povu pro max 😁😁Huwa nadharau sana nikikuta jizee kama ww unajifanya kuongea lugha za vijana wanaobalehe. "Unajikuta" ndio uchafu gani?
Kina nani?Alipofariki si mlishangilia?
Ni kweli, lakini bado hata huyo Magufuli hakuwa anaitaka hiyo katiba mpya. Na wala hakuwa mwema kwa hiyo cdm. Kifo cha Magufuli kilikuwa ni baraka kwa nchi hii, hutaki jinyonge.Haaaaaa 🤣🤣🤣🤣 hawa wapumbavu wa chadema niliwaambia humu kwa herufi kubwa sana ..kuwa wasifurahie kifo cha JPM bila kujua kama kina mikono ya watu au la ...maana kama kina mikono ya watu..kamwe siasa na nchi ya tanzania haziwezi kuwa njema ...maana hiyo mikono iliyo husika kwenye kifo kamwe awawezi kuruhusu haki au katiba mpya....niliwaambia kamwe samia awezi kuleta katiba mpya na sababu ni kifo cha jpm...walio nyuma ya hilo tukio kina ROSTAM AZIZI NA GENGE LAKE LA WAHUNI WA SOGA NA WAHUNI WACCM KWA UJUMLA awawezi kuatalisha maisha yao kwa kucheza sandakarawe...la sivyo wataangamia kwa vitendo vyao.
Nawaambia tena chadema kuwa uchaguzi wa 2025 utakuwa wa kipekee sana kamwe awajawai kuona uchaguzi wa aina hiyo toka siasa za vyama vingi kuanzishwa nchini ...washike haya maneno yangu.
Washangiliaji wanaolia sa izKina nani?
Apambanie familia yake fine ila sio Kwa kuharibu shughuli za wengine au amani ya Nchi.
Unataka kuleta maandamano Ili kuvuruga uchumi Ili kitokee nini?
Lililikuwepo ndio maana Polisi wamezuia,mbona wakati ule katikati ya vyrumai za Masai na DP World mliachwa mkaandamana?..hata bila maandamano uchumi umevurugika. Wananchi wanalia hali ngumu ya maisha.
..binafsi sijaona sababu ya mkutano wa Chadema kuzuiliwa. Hakukuwa na jambo lolote la kutishia amani ktk maelezo yao.
..kwa upande mwingine, Act wazalendo wametoa kauli ngumu, na za kutishia serikali na muungano lakini hawakamatwi na Polisi.
Lililikuwepo ndio maana Polisi wamezuia,mbona wakati ule katikati ya vyrumai za Masai na DP World mliachwa mkaandamana?
Nia ovu,naunga mkono Polisi
Mwisho uchumi ulivurugwa Huwa hautoi Ajira Wala Kuzalisha Mapato,acha ujinga 👇👇
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1822957833337368797?t=xpSeZWtFYeOU3F7oTPJ56A&s=19
Lililikuwepo ndio maana Polisi wamezuia,mbona wakati ule katikati ya vyrumai za Masai na DP World mliachwa mkaandamana?
Nia ovu,naunga mkono Polisi
Mwisho uchumi ulivurugwa Huwa hautoi Ajira Wala Kuzalisha Mapato,acha ujinga 👇👇
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1822957833337368797?t=xpSeZWtFYeOU3F7oTPJ56A&s=19
Wewe usiwe mjinga,ndani ya miezi hii 2 , Serikali imetoa zaidi ya Ajira 25,000 huo ni mfano mdogo tuu kati ya maelfu ya Ajira...nafasi za ajira 224 katika taasisi 14 ni kidogo sana ukilinganisha na idadi ya wanaohitimu ktk vyuo mbalimbali hapa nchini.
Mlisema mnaenda kufanya maandamano..kwenye Press zote Bavicha wameeleza wanachokwenda kufanya ktk hayo maadhimisho.
..Chadema sio chama cha kuleta vurugu. Hata wapinzani wa Tanzania sio watu wa vurugu. Hivi vyama vina miaka 30+ na vimekuwepo bila matatizo yoyote.
Wewe usiwe mjinga,ndani ya miezi hii 2 , Serikali imetoa zaidi ya Ajira 25,000 huo ni mfano mdogo tuu kati ya maelfu ya Ajira.
View: https://twitter.com/ajirapsrs/status/1821802588452311090?t=nWyDymsSnllXfmxjWxf9iw&s=19
Nyie watu hamna facts zaidi ya upotoshaji Kwa misingi ya chuki,naunga mkono mshughulikiwe
Kama Fei Toto alivyofuata Urojo Azam.Samia nchi imemshinda asaidiwe atuachie Tanganyika yetu arudi kwao akale urojo
Mlisema mnaenda kufanya maandamano
Mda wa kufanya kazi sio maandamano yasiyo na Tija Wala yasiyoisha...sio kweli.
..Polisi na Ccm wamefanya makosa ktk hili.
..Tatizo lenu mkikosea huwa mnalazimisha kuwa hamjakosea.
..You are too slow to correct your mistakes.
..Zimefanyika Press nyingi na Chadema wameeleza nini kitafanyika, na hakukuwa na maandamano.
Kuna sababu. Polisi siyo wajinga.