Na wafuasi wao wanashangilia kuona picha tu.Wakati kukiwa hakuna lolote linalobadilika!
Hawa ni watu wenye akili nzuri kabisa, lakini Maajabu ndiyo hayo!
Anatumika kuwapa ahueni ccm kwa kuvunja katiba.Sasa sijui mkuu 'Erythrocyte' atachukuliaje ushauri wako huu makini kabisa!
Mbowe anatumika sasa kama kifaa!
tusubiri kidogo sanaNi vigumu sana kutofautiana nawe katika hili, lakini hii siyo mara ya kwanza CHAMA hiki kikipitia njia kama hii.
Lisilojulikana ni kama safari hii kutakuwepo na tofauti.
Makamba amepitwa mno na wakatiSasa sijui mkuu 'Erythrocyte' atachukuliaje ushauri wako huu makini kabisa!
Mbowe anatumika sasa kama kifaa!
Hapana.Anatumika kuwapa ahueni ccm kwa kuvunja katiba.
Anatumika kuhalalisha uvunjaji huo.
Worse enough anatumika kupoteza mwelekeo wa chama chake mwenyewe.
Hawa jamaa akili walizokuwa nazo huko mwanzo wamezipeleka wapi ?
Mkuu 'Erythro', kwa hapa tulipofikia ni busara kusema tuvute subira mambo yajifunue yenyewe. Lakini kutokana na dalili anazoonyesha Mwenyekiti, tokea kule kwenye safari yake ya hivi karibuni, na aliyoyazungumza huko, dalili siyo nzuri hata kidogo.Makamba amepitwa mno na wakati
Tumechukua kila tahadhariMbowe awe makini sana na huyo Mzee wa upande wa kulia na kikosi chake. Hao ni maadui wa katiba mpya.
Selikali ndo imeipa upinzani au upinzani ndo imeipa selikali hiyo ripot?Pale wamepeleka ripoti ya maridhiano yalipofikia ...umeelewa lkn ?
Kwanini Mbowe yuko puke yake?View attachment 2464661
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana mara baada ya kupokea taarifa ya Maendeleo ya mazungumzo ya mchakato wa maridhiano ya kisiasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Desemba 2022.
View attachment 2464667
======
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia leo 31/12/2022
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba huu ndio ule ule mwendelezo wa Majadiliano ya Maridhiano kuelekea Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi , ambapo Rais Samia amepokea Taarifa ya Maridhiano hayo
Mazungumzo hayo yalihudhuriwa pia na Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana
Acha ujinga magu siyo wa kubezwa Kam una akili timamuHizi ndiyo siasa. Vyama vya upinzani viko kikatiba na wapinzani ni wananchi wenzetu.
Ila yule shetani wa Chato aliufanya upinzania ni uadui. Asante Mungu kwa kusikia maombi yetu hatimaye akasepeshwa jehanam mnamo 17/ 03/ 21
Muda utatoa majibuHapana.
Tusifanye haraka kuhukumu.
Haya mambo hayawezi kujificha, muda si muda kila kitu kitakuwa wazi.
Kati ya siku mbaya aliyokutana nayo Mbunge wa Hai , Saashisha Mafue ni siku ya Mwisho kumaliza mwaka 2022 na kuona kikao hiki kimefanyika na kimefanikiwa.View attachment 2464661
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana mara baada ya kupokea taarifa ya Maendeleo ya mazungumzo ya mchakato wa maridhiano ya kisiasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Desemba 2022.
View attachment 2464667
======
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia leo 31/12/2022
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba huu ndio ule ule mwendelezo wa Majadiliano ya Maridhiano kuelekea Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi , ambapo Rais Samia amepokea Taarifa ya Maridhiano hayo
Mazungumzo hayo yalihudhuriwa pia na Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana
Rafiki yangu mbowe nipe na mie hata kijiko kimoja cha Asali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2464661