Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi unachoka kupambana?,mbwa kabisa huyo,anaramba asali,imemlevya.Nchi ngumu sana hii, siasa za nchi hii ukiingia kichwakichwa utashangaa upo nje.
View attachment 2464661
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana mara baada ya kupokea taarifa ya Maendeleo ya mazungumzo ya mchakato wa maridhiano ya kisiasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Desemba 2022.
View attachment 2464667
======
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia leo 31/12/2022
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba huu ndio ule ule mwendelezo wa Majadiliano ya Maridhiano kuelekea Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi , ambapo Rais Samia amepokea Taarifa ya Maridhiano hayo
Mazungumzo hayo yalihudhuriwa pia na Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana
Juisi za ikulu tamu sana daah JPM alichukiwa sababu aliwanyima mualiko wa mara kwa mara
Uelewa wako ni mdogo sana ..rudia kusoma ndo urudi ku commentMaridhiano yanafanywa na watu wachache namna hiyo
Team mwenda zake inawaumaaaaaJuisi za ikulu tamu sana daah JPM alichukiwa sababu aliwanyima mualiko wa mara kwa mara
Samehe 7*70 mkuu...ametangulia ,tumuache apumzike..Hizi ndiyo siasa. Vyama vya upinzani viko kikatiba na wapinzani ni wananchi wenzetu.
Ila yule shetani wa Chato aliufanya upinzania ni uadui. Asante Mungu kwa kusikia maombi yetu hatimaye akasepeshwa jehanam mnamo 17/ 03/ 21
Chadema Haina mwanachama kenge kama ww...
Wivu tu ndio umekujaa mpaka umekuwa Kama mtoto mdogoHizi picha wenzake wanazitumia vibaya. Bora akutanenao kimyakimkya tu na matokeo yakiwa mazuri, ndio ajitokeze hadharani kupiga nao picha.
Pia, Mbowe akumbuke kauli za Makamba na kikwete za hivi kariibuni kwenye Mkutano Mkuu wa CCM.
Asali
Asali ya nyuki wadogo ina kauchungu kwa mbali, Lakini inafaa kwa kulamba
Mwenyekiti analamba asali
Nasikia bei ya asali haijaathiriwa na Vita vya Ukraine na Russia
Vita inaendelea lakini asali inalambika kama kawaida
Hivi ile vita ya ccm mpya na ccm asili ni nani aliyeamua ushindi, Na iliishia wapi
Tunashauriwa tusitumie vitu vyenye sukari ya kutengeneza lakini inaruhusiwa kutumia sukari ya asili kama asali
Tuendelee kulamba asali kabla mzinga haujabomoka
Mwenyekiti on Fire
Lamba asali mwenyekiti
Ulitaka aende na wewe ?????Muacheni Mbowe afanye maridhiano nyie bakini na mimatusi yenuJe mwenyekiti ameunda na Nani kama alivyo upande wa pili?! Haya ni mambo muhimu.
Hatumpumzishi shetani hapa. Mbona Daudi hakumsamehe Goliath ambaye alikuwa MTESI wa wana wa Israel??Samehe 7*70 mkuu...ametangulia ,tumuache apumzike..
Unadhani mpaka sasa hawa fahamu kuwa wana cheza ngoma ya CCM ?Wapinzani wasipoweza kufanya angalau mikutano ya hadhara, wajue wanachezewa tu.
CHADEMA akili walizokuwa nazo wamepeleka wapi ?View attachment 2464661