Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

Nafikiri Chadema hawajwahi kumwamini Lowassa kiasi cha kuweka mikakati yote mbele yake.Pia alivyoenda magogoni ndiyo alishajiondolea kabisa uhalali wa kuaminika,Lowassa alishajuwa hilo.Lakini hongera zako maana hapa buku 7 zinakuhusu.
 
Masikini ya Mungu pesa za matibabu na school fees za wanawe tumeona clip anaomba kwa diaspora huko US sasa pesa za kununua nafasi ya kugombea urais atazitoa wapi? Unafikiri Wachagga watampa bure hiyo nafasi?
Dr Slaa mwaka 2010 naye alinunua hiyo nafasi!!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Yaliyojiri" yako wapi?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Masikini ya Mungu pesa za matibabu na school fees za wanawe tumeona clip anaomba kwa diaspora huko US sasa pesa za kununua nafasi ya kugombea urais atazitoa wapi? Unafikiri Wachagga watampa bure hiyo nafasi?
Too low !
 
Bro wewe nii nani unaongea kwa confidence kubwa kiasi hicho!!!!!? . Ujuayo ni ya Leo ya kesho huyajui. Ephraem Kibonde alienda bk kumzika mfanyakazi mwenza, akapews na uemc wa shughuli yote. Tafakari maneno ya Mungu aliyosema. Leo Yuko wapi? Mungu Ni Mambo yote. Step down brother. Muache Mungu afanye yake, hata kwa akina Mbowe anafanya. Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swadakta !
 
Hata Matako ni jina pia sifahamu kwanini alijibadilisha.
Faiza ulikosa uteuz enzi za jk,wenzako wote waliokua wamejaaliwa neema za Allah kama ww ulivyo na tako kubwa walilamba uteuzi udc awamu hii unajipendekeza kwa kasi unatamani mpaka kuingia kanisani lkn hawakuoni tu pole sana
 
Mbina umetolea mfano vitu vya kipuuzi sana mkuu? Hii ni siasa siyo clouds au mpira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri Chadema hawajwahi kumwamini Lowassa kiasi cha kuweka mikakati yote mbele yake.Pia alivyoenda magogoni ndiyo alishajiondolea kabisa uhalali wa kuaminika,Lowassa alishajuwa hilo.Lakini hongera zako maana hapa buku 7 zinakuhusu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani mtu umpe kugombea urais, kwamba anaenda kuwa rais wa nchi alafu usimpe siri na mikakati yenu? Kwa chadema ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faiza ulikosa uteuz enzi za jk,wenzako wote waliokua wamejaaliwa neema za Allah kama ww ulivyo na tako kubwa walilamba uteuzi udc awamu hii unajipendekeza kwa kasi unatamani mpaka kuingia kanisani lkn hawakuoni tu pole sana
Una akili za kitumwa, niajiriwe serikalini nimekosa kazi za kufanya?
 
Watu kila Siku wanaamka na mawazo mapya,mikakati mipya ,nyie mnakusanya ya zamani iliyopitwa na wakati?
 
Umefaidikaje kukaa kwake Ndani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…