Hilo hata mimi nalijua, huyu sio yule FaizaFoxy tuliyekuwa nae.Correction: Hon Matiko....
Someone hacked jina lako?
GT kama ww na hii comment yako ni vitu tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo hata mimi nalijua, huyu sio yule FaizaFoxy tuliyekuwa nae.Correction: Hon Matiko....
Someone hacked jina lako?
GT kama ww na hii comment yako ni vitu tofauti.
Hacked IDMasikini ya Mungu pesa za matibabu na school fees za wanawe tumeona clip anaomba kwa diaspora huko US sasa pesa za kununua nafasi ya kugombea urais atazitoa wapi? Unafikiri Wachagga watampa bure hiyo nafasi?
Nafikiri Chadema hawajwahi kumwamini Lowassa kiasi cha kuweka mikakati yote mbele yake.Pia alivyoenda magogoni ndiyo alishajiondolea kabisa uhalali wa kuaminika,Lowassa alishajuwa hilo.Lakini hongera zako maana hapa buku 7 zinakuhusu.Wasalaam, habari za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika zinaeleza kuwa kwa sasa mh mbowe na ester matiko watapatiwa dhamana hivi karibuni. Habari zinaeleza kwamba lengo la kwasotesha ndani lilikua kutimiza mission mbowe akae ndani ili mh lowassa akusanye siri na mikakati ya chadema na kuipeleka ccm. Kwa kuwa mission imetimia inaelezwa ccm wameshaielekeza mahakama iwapatie dhamana washitakiwa hao.
Dr Slaa mwaka 2010 naye alinunua hiyo nafasi!!???Masikini ya Mungu pesa za matibabu na school fees za wanawe tumeona clip anaomba kwa diaspora huko US sasa pesa za kununua nafasi ya kugombea urais atazitoa wapi? Unafikiri Wachagga watampa bure hiyo nafasi?
Tena huyo ndiyo walimfilisi kabisa.
Kwani bado tu kesi haijakwisha...?
kanisa ni moja tu Katoliki Takatifu na La Mitume..
"Yaliyojiri" yako wapi?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Too low !Masikini ya Mungu pesa za matibabu na school fees za wanawe tumeona clip anaomba kwa diaspora huko US sasa pesa za kununua nafasi ya kugombea urais atazitoa wapi? Unafikiri Wachagga watampa bure hiyo nafasi?
Bro wewe nii nani unaongea kwa confidence kubwa kiasi hicho!!!!!? . Ujuayo ni ya Leo ya kesho huyajui. Ephraem Kibonde alienda bk kumzika mfanyakazi mwenza, akapews na uemc wa shughuli yote. Tafakari maneno ya Mungu aliyosema. Leo Yuko wapi? Mungu Ni Mambo yote. Step down brother. Muache Mungu afanye yake, hata kwa akina Mbowe anafanya. Amen.umeongea upuuzi, maana hakunaga kitu kama hicho
ebu tupekue vifungu vya sheriw vya kumtetea MBOWE ATOKE NDANI
msaidie mwanasheria kutafuta vifungu na omba atoke
umeongea kama mtanzania halisi na may be std 3 ambaye anauliza maswali badala ya ku focus kwenye KUFANYA jambo litokee
Swadakta !Siri ndio nini,? Hivi unafikiria mikakati uwa inakaa Ile Ile tu? Ingekuwa hivyo basi wafanyakazi wanaoama taasisi moja kwenda nyingine wanayoiacha ingekuwa inakufa.
Mtu anahama kutoka NMB kwenda CRDB Ndio NMB inakufa?....
Au Yule jamaa alisefanya kaziVoda,,tigo na airtel sasa hv yupo sports pesa kenya ndio voda imekufa.?....
Au wakina Ibrahim Masood & Dinna kuhama Clouds kwenda Efm ndio clouds kufa?....
Taasisi itabaki kuwa taasisi tu na mtu atabaki kuwa mtu na hakuna taasisi inayokuwa na mbinu za aina Ile Ile muda wote.......
Hakuna mtu duniani anayeweza kuwa zaidi ya taasisi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Faiza ulikosa uteuz enzi za jk,wenzako wote waliokua wamejaaliwa neema za Allah kama ww ulivyo na tako kubwa walilamba uteuzi udc awamu hii unajipendekeza kwa kasi unatamani mpaka kuingia kanisani lkn hawakuoni tu pole sanaHata Matako ni jina pia sifahamu kwanini alijibadilisha.
Mbina umetolea mfano vitu vya kipuuzi sana mkuu? Hii ni siasa siyo clouds au mpira.Siri ndio nini,? Hivi unafikiria mikakati uwa inakaa Ile Ile tu? Ingekuwa hivyo basi wafanyakazi wanaoama taasisi moja kwenda nyingine wanayoiacha ingekuwa inakufa.
Mtu anahama kutoka NMB kwenda CRDB Ndio NMB inakufa?....
Au Yule jamaa alisefanya kaziVoda,,tigo na airtel sasa hv yupo sports pesa kenya ndio voda imekufa.?....
Au wakina Ibrahim Masood & Dinna kuhama Clouds kwenda Efm ndio clouds kufa?....
Taasisi itabaki kuwa taasisi tu na mtu atabaki kuwa mtu na hakuna taasisi inayokuwa na mbinu za aina Ile Ile muda wote.......
Hakuna mtu duniani anayeweza kuwa zaidi ya taasisi..
Sent using Jamii Forums mobile app
NoNa wakionekana wanapaswa kuendelea kuwa ndani kwa kukiuka masharti ya dhamana ikiwemo kutoonekana mahakamani na kuvunja sharti la kutosafiri nje ya nchi mtaridhia waendelee tu kukaa ndani?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani mtu umpe kugombea urais, kwamba anaenda kuwa rais wa nchi alafu usimpe siri na mikakati yenu? Kwa chadema ipi?Nafikiri Chadema hawajwahi kumwamini Lowassa kiasi cha kuweka mikakati yote mbele yake.Pia alivyoenda magogoni ndiyo alishajiondolea kabisa uhalali wa kuaminika,Lowassa alishajuwa hilo.Lakini hongera zako maana hapa buku 7 zinakuhusu.
Una akili za kitumwa, niajiriwe serikalini nimekosa kazi za kufanya?Faiza ulikosa uteuz enzi za jk,wenzako wote waliokua wamejaaliwa neema za Allah kama ww ulivyo na tako kubwa walilamba uteuzi udc awamu hii unajipendekeza kwa kasi unatamani mpaka kuingia kanisani lkn hawakuoni tu pole sana
Umefaidikaje kukaa kwake Ndani?Ilikuwa nikila tarehe ya kusikilizwa kesi inayowakabili viongozi wa chadema inapofika,huyu bwana mkubwa tulikuwa tunaambiwa kalazwa anaumwa.
Tangu kawekwa kolokoloni sioni akiwa mahututi tarehe za kusikiliza rufaa yake,na pingamizi la rufaa yake.
Kumbe akiwa ndani haugui,naona nipazuri,panafaa aendelee kukaa ili kesi inayowakabili iende haraka.