Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Soma sentensi yangu ya mwisho. Jibu liko hapo!Wewe unayejua si utueleze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma sentensi yangu ya mwisho. Jibu liko hapo!Wewe unayejua si utueleze.
Vijana,Siasa za mihemko na Ukamanda.Mbowe anakula bata na Maisha yanaendelea.Mtatumika sana mpaka pale mtakapojitambua
Changu, punguza jazba. Huu ni msiba. Sioni tatizo kwenye comment yangu iliyokufanya ufyatuke. Mwogope Mungu na mwombe akupe moyo wa ujasiri uache tabia ya kutoa mapovu hovyo mitandaoni.Mhaini uso na utu wewe umelewa uGAMBA mpaka utu umeuweka pembeni
Muogope hata mungu
Hamjishughulishi na kueleza chanzo cha tukio, mazingira ya hilo tukio, mnachoona ni sahihi kwenu ni kusema "wanaosadikiwa kuwa vijana wa ccm"
Acha kuropoka ww,kuna uchaguz mdogo unafanyka wa diwan hiki n kpnd cha kampen
Naiombea Amani Tanzania yetu, atuepushe na siasa hizi tunazoanza kuzishuhudia... Wote tunashindana ili kujenga nyumba moja Tanzania.... Vijana acheni kutumika kwa watu wa maslahi binafsi,
Imagine wewe unamtoa uhai mwenzio kisa unamtetea mtu fulani apate nafasi fulani.
Je mnapopishana yeye akienda huko mjengoni na wewe gerezani, hapo umepata nini?????
Umewaachia shida wategemezi wako kisa posho ya kampeni au ukada wa Chama fulani, not fare walaaniwe Wote Wanaoharibu Jina la nchi yetu
R. I. P shupavu wa demokrasia ya kweli Alphonce mawazo (kama habari hii ni ya kweli)
Nawachukia wanafiki!Mungu ailaze pema roho ya kamanda Mawazo.No..no..no..tupate uthibitisho wa hili. Kama ni kweli ni siku ya masikitiko. RIP Mawazo
Nashindwa kuelezea machungu niliyonayo kwa kufiwa na Mawazo. Najuta kuwa mwana CCM kabla sijaondoka mwaka huu chama hatari sana hasa kwenye madaraka. Mawazo aliweka pingamizi kwa huyu "sata" Laurencia Bukwimba na alikuwa na kila ushahidi wa kushinda kesi. Sasa njia aliyoona inafaa ni hiyo. Haiwezekani damu yake iende hivihivi kama ya kuku.
Yanahitajika maamuzi magumu badala ya kuendelea kudhalilishana hivi. Viongozi wa CDM mpo wapi???
Nenda kawaulize IS wanazipata wapiNamlaumu sana Lowassa kwa udhaifu wa kuwanyamazia CCM. Haya yote yanafanywa kwa kuendelea kuwa kimya. Nimeongea na rafiki yangu akiwa Katoro inasikitisha sana. Wamemuua mchana kama wanaua mwizi (gari mbili zikiwa na hao watu). Tapata wapi silaha jamani!!!?