TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Duh kufikia kwa wagiriki na watanzania hawa hawa bado sana
 
Kwa ninavyoelewa mpaka sasa akiuawa Mwanachama wa CDM kwa vile si binadamu wala Mtanzania,polisi watasema amekufa Mwanachama wa CDM walipigana wakiwa.wanataka kwenye kampeni.Inakwisha na.mauaji anawndelea kupata.
 
Na walaaniwe wote waliofaya unyama huu pamoja na waliowatuma pia na wanaowasapoti.....kila mtanzania mwenye hofu ya mungu na aseme AMINA
 
Kwa msaada wa wananchi watuhumiwa 3 walikamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi wa mapoliccm cha ajabu ndani ya nusu saa wakaachiwa huru na kutokomea........!
Kama hii ni kweli basi hatuna wa kutulinda
Inauma sana
 
Ndiyo taswira halisi ya CCM Kuua ye yote wasiyokubaliana naye. Vinara wa haya ni marais wawili wastahafu.
 
Taifa sijui linakwenda wapi? Ndugu yetu Mawazo pumzika unapostahili. Ila kifo chako kimetuachia simanzi kubwa sana. Yaani inaumiza sana na inahuzunisha sana. Ee Mungu tuhurumie sana.
 
Roho imeniuma sana,kama tunafanya siasa kuwa uadui kiasi hiki,kwa kweli ni hatari sana.Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi,Amen.
 
Mwenye habari kamili tafadhari twaomba asimlie kwa kirefu zaidi. Inauma sana mbona nchi tumewaachia au wanataka tuanze na Zanzibar???
 
Hv hata zile pic ameinua kichwa nani alizipiga,? Kwa nn asitumie muda huo kuokoa maisha ya marehemu na kuona ni bora ampige pic akiwa bado hajafa na yupo kwenye maumivu makali? Nimeumia sana jamani...rip Mawazo!!
 
Yaan mpaka machozi nahisi yananidondoka nikimkumbuka huyu kamanda harakati zake hasa wakati wa kampeni alivyokuwa akipinga mauaji dhidi ya wachimbaji wa geita wa magwangala kwa kweli kanda ya ziwa tumepoteza mtu muhimu na makini sana eee mungu tusaidie jamani siasa sio vita jaman niushindani wa hoja jaman mawazo wetu mawazo wetu mawazo wetu mungu akulaze pema mimi ni kabisa wa jimboni kwako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom