PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Mwanza Ndg. Peter Machoko ahamia CCM na wafuasi 167

PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Mwanza Ndg. Peter Machoko ahamia CCM na wafuasi 167

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
20250502_222601.jpg

Mwenyekiti wa Chadema Mwanza ndg Peter Machoko pamoja na wafuasi 167 leo wamevua magwanda na kuunga mkono juhudi za Mama Samia na sasa ni wafuasi rasmi wa CCM.
20250502_222552.jpg

My Take:Kumeanza kuchangamka
 
Bora huko matone tone yake yanageuka kuwa mabuyu ya asali.

CHADEMA vurugu tupu, hata hayo matone tone huyaoni.

Haya sasa Laigwanaan Tundu ndani, nani atawalipia mawakili wake? Tone Tone

Wakale asali
 
Hizi spinning zinazoletwa na mjinga wao wala hazitutoi kwenye focus.

The big story of the town ni tukio la Kitima na Mdude kushambuliwa na government paid goons.

Huo upuuzi mwingine kwa sasa hatuutaki sawa mjinga wao?

No reforms no election.
 
Hizi spinning zinazoletwa na mjinga wao wala hazitutoi kwenye focus.

The big story of the town ni tukio la Kitima na Mdude na government paid goons.

Huo upuuzi mwingine kwa sasa hatuutaki.

No reforms no election.
True wanahamisha mjadala. Hata game ya leo ya Simba ina maswali.mengi kuliko majibu
 
Back
Top Bottom