Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Ila alivyokuwa chadema alikuwa na akili?Uliona wapi mtu aitwe ***** awe na akili?
Ila alivyokuwa chadema alikuwa na akili?Uliona wapi mtu aitwe ***** awe na akili?
Kwahiyo chadema mwanza hawana akili hadi kumpa uenyekiti?Uliona wapi mtu aitwe ***** awe na akili?
😂 😂 😂 machoko
Machoko...ongezea na jingalao. CCM kama kokoro inazoa tuHilo jina la Machoko lipo mahali sahihi kabisa 😂
Wanafikiri kila mtu ni mjinga kama wao.True wanahamisha mjadala. Hata game ya leo ya Simba ina maswali.mengi kuliko majibu
Chadema bado wana card za makaratasi?View attachment 3323078
Mwenyekiti wa Chadema Mwanza ndg Peter Machoko pamoja na wafuasi 167 leo wamevua magwanda na kuunga mkono juhudi za Mama Samia na sasa ni wafuasi rasmi wa CCM.
View attachment 3323079
My Take:Kumeanza kuchangamka
Nimuulize kwa sababu gani?Ukiona hivyo ni mkongwe ndani ya chadema.by the way si una namba zake umuulize?
SawaWaHalafu atahamia CCM
Watz wapo wengi sana wakuchukua nafasi yake hatuna haja nayeleo ndio mnaliona jina lake ?
Let them go useless people! # no election and #samiamust go!View attachment 3323078