PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Mwanza Ndg. Peter Machoko ahamia CCM na wafuasi 167

PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Mwanza Ndg. Peter Machoko ahamia CCM na wafuasi 167

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
LISSU, Henche, Mnyika na Lema wamekiuwa Chama.
Mbowe baba tunakuhitaji ukiokoe chama kinazama.
Mbowe alikijenga chama chenye umoja na mshikamano, leo hii kinasambaratika.
Wewe ndiye unayemuhitaji. Acha kuusemea umma.
 
LISSU, Henche, Mnyika na Lema wamekiuwa Chama.
Mbowe baba tunakuhitaji ukiokoe chama kinazama.
Mbowe alikijenga chama chenye umoja na mshikamano, leo hii kinasambaratika.
WEWE CCM, WEWE CHAWA ,WEWE MALAYA WA KISIASA TANGU LINI UKAMPENDA MBOWE?
 
Peter Machoko anayo energy kwelikweli tusubiri hotuba zake kuanzia sasa
 
Peter Mtyoko..

Inauma sana..
Anyway hata Yuda hakula hata senti moja kwenye pesa alizohongwa kumuuza Yesu
Kumbuka hili..
Hii guilty utaishi nayo milele na milele
 
Maelfu ya Wananchi wa Tanzania wanajiunga na CHADEMA kila siku kwa mujibu Golugwa sasa wewe unasema hao 150
 
Ni haki yake na atleast hio ndio Demokrasia yenyewe...; Ingawa, sababu ni Kodi zetu ndio zinatumika kama ruzuku na hizi sarakasi zinazoendelea ndio maana kitambo nilisema...

View attachment 3323078
Mwenyekiti wa Chadema Mwanza ndg Peter Machoko pamoja na wafuasi 167 leo wamevua magwanda na kuunga mkono juhudi za Mama Samia na sasa ni wafuasi rasmi wa CCM.
View attachment 3323079
My Take:Kumeanza kuchangamka
Hao cdm wana wafuasi kiasi gani, mbona huwa hawaishi tu? Na hakuna wanachama wa vyama vingine wanahamia ccm, bali ni cdm tu? Bado hizi mbinu za kizamani mnazitumia. Cdm hawana kadi hizo, siku hizi wana kadi za kidigitaki, matapeli mnaimngizana mjini wenyewe. Au ndio mambo ya kuuza cheni fake, na mnunuaji anatumia hela fake?
 
mnabisha hadi mletewe video clip?
 
Sema TAL toka achome kichaka cha ulafi machoko wote wanakimbia…!!

Halafu watu km hawa ndio tuwasaidie kuandamana ili kushibisha tamaa zao!!

Uzuri huko alikoenda soon tutasikia milio, tuko hapa..!! Tunzeni risiti…
 
mnabisha hadi mletewe video clip?
Nimebisha nini? Nimekuambia cdm huwa hawaishi tu, na ccm huwa haipati wanachama wa vyama vingine isipokuwa cdm tu? Hata hivyo cdm haina kadi za makaratasi, hapo mnatapeliana tu.
 
Back
Top Bottom