PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Mwanza Ndg. Peter Machoko ahamia CCM na wafuasi 167

PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Mwanza Ndg. Peter Machoko ahamia CCM na wafuasi 167

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Angalia matendo yao sio maneno... huku wanasema CHADEMA inakufa, huku wanahangaika ku-fix uchaguzi
 
View attachment 3323078
Mwenyekiti wa Chadema Mwanza ndg Peter Machoko pamoja na wafuasi 167 leo wamevua magwanda na kuunga mkono juhudi za Mama Samia na sasa ni wafuasi rasmi wa CCM.
View attachment 3323079
My Take:Kumeanza kuchangamka
Hizo kadi za mchongo, tena bora hata zingekuwa chakavu lakini brand new ndiyo zimetoka kwa printer, hizo tumeshaachana nazo kitambo, aibu yako hii guluguja Amos Makalla, umebobea kwa uongo na uzushi.
 
Tuliwaambia CHADEMA inaenda kufa chini ya Lisu mkabisha ..

Haya sasa.Wameanza kutimka
 
Hizo kadi za mchongo, tena bora hata zingekuwa chakavu lakini brand new ndiyo zimetoka kwa printer, hizo tumeshaachana nazo kitambo, aibu yako hii guluguja Amos Makalla, umebobea kwa uongo na uzushi.
Ni ngumu sana kubishana na ukweli hususani kipindi hiki cha mitandao ya kijamii
 
Ni kweli ila hizo kadi ni za mchongo, hatutumii tena kadi hizo siku hizi, mwambie Guluguja awe anatumia akili anapoamua kuudanganya umma.
Kwa hiyo huko vijijini wasio na simu hamuwataki kujiunga na uanachama?
 
View attachment 3323078
Mwenyekiti wa Chadema Mwanza ndg Peter Machoko pamoja na wafuasi 167 leo wamevua magwanda na kuunga mkono juhudi za Mama Samia na sasa ni wafuasi rasmi wa CCM.
View attachment 3323079
My Take:Kumeanza kuchangamka


Hao ni wale wachumia tumbo wa G55, wameona waondoke kuliko kusubiri kuondolewa. Wacha waende kwa wauaji na watekaji, wakawe mashetani kamili.
 
Kwa hiyo huko vijijini wasio na simu hamuwataki kujiunga na uanachama?
Hizi kadi ni mpya nani amezi print na sisi tumeshaachana nazo? Chadema Digital ilipita hadi vijijini kuandikisha wanachama kwa njia ya kidijitali, mwambie Makalla afanye home work kwanza kaba hajaanza kuropoka majukwaani.
 
Hata lissu naye akihamia ccm poa tu, haki na demokrasia zitaendelea kupiganiwa na wengine
 
Hizi kadi ni mpya nani amezi print na sisi tumeshaachana nazo? Chadema Digital ilipita hadi vijijini kuandikisha wanachama kwa njia ya kidijitali, mwambie Makalla afanye home work kwanza kaba hajaanza kuropoka majukwaani.
Mbona unataka kuhadaa umma waziwazi?Kwani kadi za digital haziwezi kuwa printed?
 
Punguza uvivu.Hii habari imeshasambaa kila mahali unataka kuipinga?Kwani Mwanza kuna mwenyekiti wa nini?
Kwa ufupi CCM imefagia nyumba nzima huko Mwanza
GOOD FOR YOU THEN,

NO REFORM NO ELECTION
 
Wanaogopa kuuliwa na Polisi masikini ya Mungu ukiwa upinzani unakua mawindo ya polisi wanakuwinda kukuua tu kwa hio kujiponyesha wanaona wahamie upande wa pili ili wasife masikini ya Mungu
 
Back
Top Bottom