Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,898
- 9,809
Unapenda ligi, baki na ligi zako. No time to waste. This time we don't take any bullshit anymore. Bakini na upuuzi wenu.Hata Lissu alihamia chadema kutoka NCCR una maoni gani hapo?
Unapenda ligi, baki na ligi zako. No time to waste. This time we don't take any bullshit anymore. Bakini na upuuzi wenu.Hata Lissu alihamia chadema kutoka NCCR una maoni gani hapo?
Duh。。。!, ndio demokrasia! Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?View attachment 3323078
Mwenyekiti wa Chadema Mwanza ndg Peter Machoko pamoja na wafuasi 167 leo wamevua magwanda na kuunga mkono juhudi za Mama Samia na sasa ni wafuasi rasmi wa CCM.
View attachment 3323079
My Take:Kumeanza kuchangamka
Akiwa Chadema mlimwita kamanda 🤣🤣Yaani jina lake ni *****, halafu una tegemea awe na impact yoyote.
Ni haki yake mwacheniView attachment 3323078
Mwenyekiti wa Chadema Mwanza ndg Peter Machoko pamoja na wafuasi 167 leo wamevua magwanda na kuunga mkono juhudi za Mama Samia na sasa ni wafuasi rasmi wa CCM.
View attachment 3323079
My Take:Kumeanza kuchangamka
Mmejiingiza chaos.. Card za CHADEMA za sasa ni za kidigitaliView attachment 3323078
Mwenyekiti wa Chadema Mwanza ndg Peter Machoko pamoja na wafuasi 167 leo wamevua magwanda na kuunga mkono juhudi za Mama Samia na sasa ni wafuasi rasmi wa CCM.
View attachment 3323079
My Take:Kumeanza kuchangamka
'Timing' ya hawa ni mbovu kabisa. Hawajui kusoma alama za nyakati. Mbona wamechelewa sana!![]()
My Take:Kumeanza kuchangamka
Mtu mwenyewe anaitwa machoko, wa nini huyo aende kwa machoko wenzake.View attachment 3323078
Mwenyekiti wa Chadema Mwanza ndg Peter Machoko pamoja na wafuasi 167 leo wamevua magwanda na kuunga mkono juhudi za Mama Samia na sasa ni wafuasi rasmi wa CCM.
View attachment 3323079
My Take:Kumeanza kuchangamka
Iko hivi, ukienda CCM automatically akili zinahama ubakishiwa za kuvukia barabara, kuvalia nguo na kwendea chooni tuIla alivyokuwa chadema alikuwa na akili?
Tena mpya kabisa zimtoka kuprintiwa muda huo huo Makalla ni mpumbavu anapenda sana siasa za hadaa na ulaghaiMmejiingiza chaos.. Card za CHADEMA za sasa ni za kidigitali
ANDIKA TAARIFA VIZURI, MWENYEKITI WA MKOA,WA WILAYA,KATA AU MTAA.Mwenyekiti wa Mwanza maana yake ninini?View attachment 3323078
Mwenyekiti wa Chadema Mwanza ndg Peter Machoko pamoja na wafuasi 167 leo wamevua magwanda na kuunga mkono juhudi za Mama Samia na sasa ni wafuasi rasmi wa CCM.
View attachment 3323079
My Take:Kumeanza kuchangamka
Mkuu si unaona mtu anajiita jingalao unafikrikuna nini tena hapo, hilo ni jinga la majinga.ANDIKA TAARIFA VIZURI, MWENYEKITI WA MKOA,WA WILAYA,KATA AU MTAA.Mwenyekiti wa Mwanza maana yake ninini?
G55 bila shakaView attachment 3323078
Mwenyekiti wa Chadema Mwanza ndg Peter Machoko pamoja na wafuasi 167 leo wamevua magwanda na kuunga mkono juhudi za Mama Samia na sasa ni wafuasi rasmi wa CCM.
View attachment 3323079
My Take:Kumeanza kuchangamka
Punguza uvivu.Hii habari imeshasambaa kila mahali unataka kuipinga?Kwani Mwanza kuna mwenyekiti wa nini?ANDIKA TAARIFA VIZURI, MWENYEKITI WA MKOA,WA WILAYA,KATA AU MTAA.Mwenyekiti wa Mwanza maana yake ninini?
Nitaendelea kuamini kwamba wewe jamaa ni mjinga wa mwisho.Kwani huwezi kuchangia hoja kwa staha?