Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

Aaron Arsenal,

Watu kuchukuliwa fomu imekuuma sana eeee?

Na wewe kachukuliwe basi!

Hawajavunja sheria,yanini masimango?

Mijitu yenye udikteta wa CCm bwana,hovyo sana!
 
CCM mnatamani msajili aingilie kati kuwa wote waliochukuliwa fomu uongozi wao sio halali, watachukuliwaje fomu na miguu wanayo ya kwenda kuchukua wenyewe?
 
Chadema anzeni kujiandaa kisaikolojia.Baada ya kumalizika uchaguzi wenu mkuu viongozi wengi walioshindwa na wafuasi wao watakukimbieni kwa wingi .Kutakuwa na Mass Exodus ya kuhama chadema.Makundi makubwa yatahamia CCM na wengine watatimkia ACT wazalendo
 
Aina ya ndoto unazoota usiku nadhani zinategemea uliye lala kwake in wa dini gani! Jee ni Juma au John?
 
kwani Mkuu CCM si mlisema CHADEMA tayari imekufa au unaota ?
Ata CHADEMA wakiondokewa na Viongozi wote adi Mh Mbowe lakini CCM haiwezi kupendwa ata na nusu ya waTanzania.
 
Chadema anzeni kujiandaa kisaikolojia.Baada ya kumalizika uchaguzi wenu mkuu viongozi wengi walioshindwa na wafuasi wao watakukimbieni kwa wingi .Kutakuwa na Mass Exodus ya kuhama chadema.Makundi makubwa yatahamia CCM na wengine watatimkia ACT wazalendo
Sawa mkuu,kakimbia Dokita Silaa lakini CDM haijayumba ndio watakuwa kina Kalist?
 
Wameondoka maelfu lakin chama kiko imara hadi Joni wa K vant halali usingizi anawaza bado kuiua tu.Sisi wakiondoka wanaibuka waliobora zaidi.
 
MUDA UMEPITA Mlitakiwa muwe mumefanya uchaguzi mkuu septemba 14.Kelele zetu ndizo zimesaidia ufanyike.
Na cdm nitawaomba wapige kelele ili mchujo wa kupata mgombea wa urais huko ccm asiwe JPM pekee na wengine wanaotaka waruhusiwe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1575451433007.jpeg
 
Back
Top Bottom