Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

Lisu mwenyewe hapendi ule Umugabe unaoendelea pale chadema ndio maana kaona bora aendelee kupiga soga na wazungu kuliko kurudi aendelee ku entertain uhuni wa pale ufipa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vijana wa CHADEMA kwa unafiki hamjambo. Mbona Tundu Lissu hamjamchukulia fomu ya kugombea uongozi CHADEMA wakati mlikuwa mnajitia kuwa ni kipenzi chenu kikubwa?
Wewe kwan Lissu alikwambia anataka uenyekiti
 
Tundu Lissu amegoma kurudi nyumbani sababu Serikali imegoma kumhakikishia usalama wake pindi atakaporejea Tz.

Uwezekano wa TL kurudi nyumbani kwa sasa ni mdogo sababu TL naye ni binadamu mwenye hofu ya kifo isitoshe kachungulia kifo kilivyo miaka miwili tu iliyopita.

Hivyo ni ngumu kwa Wanachadema mumchukulia fomu ya kugombea TL sababu kurudi kwake nyumbani bado hakufahamiki.

Wasalaam.
 
Lissu ameomba uhakika wa usalama wake ili arejee kuendelea na ujenzi wa taifa lake lakini CCM wapo kimya kabisa!! hivi aliwafanya nini nyie Lumumba hadi mfikie hatua ya kumchukia kiasi hicho.
 
Lissu ameomba uhakika wa usalama wake ili arejee kuendelea na ujenzi wa taifa lake lakini CCM wapo kimya kabisa!! hivi aliwafanya nini nyie Lumumba hadi mfikie hatua ya kumchukia kiasi hicho.
IGP Sirro kaishasema atalindwa kama Watanzania wengine wanavyolindwa na kuhakikishiwa usalama wao. Kwahiyo, kutorudi ni kiherehere chake tu!
 
IGP Sirro kaishasema atalindwa kama Watanzania wengine wanavyolindwa na kuhakikishiwa usalama wao. Kwahiyo, kutorudi ni kiherehere chake tu!
Mwambie kwanza awatafute waliong'oa zile camera na aliyetoa amri ya clear-line ya magari toka eneo la tukio afu ndiyo amwambie Lissu arudi.
 
Mwambie kwanza awatafute waliong'oa zile camera na aliyetoa amri ya clear-line ya magari toka eneo la tukio afu ndiyo amwambie Lissu arudi.
Sika dogo, Lissu hakuondoka kwa masharti na atarudi bila masharti. Asiporudi, shauri yake!
 
Sika dogo, Lissu hakuondoka kwa masharti na atarudi bila masharti. Asiporudi, shauri yake!
Tulia wewe sindano ipenye....HOJA hujibiwa kwa HOJA na si kwa mtutu wa bunduki.....kutumia mtutu wa bunduki kunyamazisha HOJA za kisiasa ni UDHAIFU..
 
Tulia wewe sindano ipenye....HOJA hujibiwa kwa HOJA na si kwa mtutu wa bunduki.....kutumia mtutu wa bunduki kunyamazisha HOJA za kisiasa ni UDHAIFU..
Kwani hiyo sio hoja? Lissu sio national concern. Kama anataka kurudi, hakufukuzwa, arudi tu. Lakini, kuweka masharti? Labda ayaweke kwa Chadema. Hapo sawa.
 
Baada ya Mbowe kuchukuliwa fomu kugombea uenyekiti, Halima Mdee nae amechukuliwa fomu kutetea nafasi ya uenyekiti Bawacha. Kuna Mbunge wa Chadema anayeitwa Cecil na yeye amejichukulia fomu kugombea uenyekiti.

Note: Je wale ambao hawana wa kuwachukulia fomu inamaana hawajakidhi vigezo vya kushinda hizo nafasi?!

Kwa siasa za maigizo kuchukuliwa fomu huchukuliwa kama ni kipimo cha kukubalika na ni kampeni tosha ya kuwanyamazisha wengine, hii mbinu iliwahi kutumiwa vizuri sana na Edward Lowassa mwaka 2015 akiwa CCM, kwa kweli ilikuwa pasua kichwa.

Hii ni demokrasia ya ajabu sana, maana kila mtu hugeuka msanii.

Na Magoiga SN

FB_IMG_1574930909075.jpeg
 
Usanii kwa maana ipi?. Kwani aliwafuata umati wote ule kila kona ya nchi kuwaambia wakamchukulie form?. Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti,kuna watu mnateseka sana?
 
Aaron Arsenal,

Kaa kimya dawa iingingie.
Mlikuwa mnapiga kelele uchaguzi wa Mwenyekiti, Uchaghuzi wa mwenyekiti ndani ya Chadema. Sasa watu wamechukua fomu, mlalalamika, si lazima njia unazojua wewe au unazozitaka zitumike.
 
kama huna wa kukuchukulia form nenda kachukue mwenyewe full stop.
Achana naye huyo kamanda!
Hajui maana ya Demokrasia.
Demokrasia ni pana sana - Mfano Kuchukuliwa fomu, Kujichukulia fomu, Kususa kuchukua fomu au hata kususia uchaguzi. Haya yote tumefundishwa jana na JPM kuwa ni ishara ya kuwepo kwa Demokrasia.
Tatizo kuna mijitu haielewi jinsi Demokrasia ilivyopana.
 
Back
Top Bottom