Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

bora tulichoka mwenyekiti huyo huyo miaka kenda rudi,tunasubiri kuona mtamuweka nani watu wa ufipa..........binafsi mm sio wa upande huo😀🙂🙁...........najiandaa kuangalia hii samabsoti itaishaje basi
Tunamuweka Mbowe. Uendelee kuteseka
 
Imebidi wafanye uchaguzi baada ya kulimwa barua kutoka kwa msajili wa vyama vya siasa lasivyo kingefutwa
 
Masahihisho:

Mwenyekiti wa kudumu bwana Mbowe atapitishwa tena kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama tarehe 8 mwezi wa 12
Sio kupitishwa kuchaguliwa kwa kura halali sio kama zile za Dodoma.
 
Kichwa cha habari uchaguzi tarehe 8, main body uchaguzi tarehe 18 tuelewe kipi?
 
wote wanaoshabikia Mbowe kuondoka! Na atachaguliwa tena! Tuone mtafanyaje? Jalini ya kwenu huko Lumumba!
 
Mnakatana ovyo kwani uchaguzi wa CHADEMA una athari kwa Taifa ?
Sasa kazi kwa CCM kutafuta mamluki wao wawapandikize chamani. wajitahidi sana kabla ya muda wa kuchukua form kuisha.
Note! Huku hakuna kukatana hovyo kwa vigezo vya kijinga. CCM nafasi yenu hii ya kumng'oa Mbowe na vibaraka wake. changamkieni fursa kabla ya muda kuisha.
 
Mbowe aliiporomosha ccm kutoka 95%- 66% mwaka 2005- 2010 ,
Mwaka 2010-2015 akaiporomosha kutoka 66%- 36%
Ccm wametapata taabu sana, tunasema deformed beyond repair
Na sasa kwa anavyoionea huruma CCM, ameamua kuipasha toka 66% mpaka 98% na 2% iliyobaki atawakabidhi Oct 2020😂😂😂
 
MUDA UMEPITA Mlitakiwa muwe mumefanya uchaguzi mkuu septemba 14.Kelele zetu ndizo zimesaidia ufanyike.
Sio ufanyike tu bali kelele zimasaidia uchaguzi ufanyike kabla Tundu Lissu hajarudi ili msaidizi wa CCM Mbowe apite bila upinzani. Tunajua lengo lenu ni kumpata mtu ambaye 2020 ataweka tena mpira kwapani kama uchaguzi huu wa SM
 
Hongereni.hatutarajii kuona MTU anapita bila kupingwa au kupata kula za ndio ama hapana
 
Hakuna uchaguzi CHADEMA, Mbowe sio mjinga kiasi hicho
 
Mimi kama Mtanzania ninayetaka ustawi wa demokrasia nchini!
Demokrasia ipi? Mbona nimepitia post zako sijaona ukipigania Uhuru sawa kwa vyama kufanya siasa za ushindani? Hujawahi kulaani kamata kamata ya viongozi wa upinzani? Bunge huru na mengine kama hayo? Au ustawi gani unauzungumzia?
 
Tetesi uchaguzi uwenyekiti CHADEMA Mbowe hatagombea kuendeleza demokrasia ndani ya chama...mrithi ni profess safari
 
Back
Top Bottom