Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

Kwa msiofahamu Mbowe ni mjanja kuliko wanachadema mnavyomfikiria.

Kiukweli kawazidi kila idara na ana maono ya mbali sana .
Baada ya kupima upepo wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na kuona atafeli kwa kiwango kikubwa sana, akaona hii itamletea tabu na msukosuko mkubwa katika kutetea kiti chake cha umwenyekiti wa maisha wa chadema.

Akaona isiwe tabu, akakonvisi baadhi ya viongozi wachumia tumbo wa baadhi ya vyama vya siasa watoe tamko la kujitoa, ili kuficha janja yake,nao wakajaa.

Sasa yuko huru kabisa na katangaza tarehe ya uchaguzi wa nafasi za uongozi ndani ya chama chake.18/12/019

Anaingia ndani ya uchaguzi akiwa na tuhuma mbili tu, matumizi ya ruzuku na michango ya wabunge, ambapo kiuhalisia majibu yapo tayari mezani.hakuna wa kufurukuta, kisha wapoza wapiga ndulu, wamepoa.

Lakini la kushindwa vibaya uchaguzi wa serikali za mitaa lilikua baya na lingetishia nafasi yake ya umwenyekiti kuelekea uchaguzi mkuu 2020, kalipangua.

Lazima vijana wangemwambia kaa pembeni mbinu zimekuishia.

Hakika Mbowe itawale chadema kwa uchaguzi magirini mpaka hapo bwana atakapo twaa
 
Sawa aksante, wanachadema kwa umoja wetu tutamchagua aendelee kutuongoza kwa miaka mingine 5

Chadema tunajivunia kuwa na kiongozi mjanja mwenye maono na ushawishi kwa wanachama kama ulivyosema

Siyo kama kile chama chenu cha mbogamboga mnaongozwa na mwenyekiti asiye na ushawishi, anatumia rushwa na vyomba vya usalama kutawala
 
Ccm manaweweseka nini?
Una elimu gani?Ruzuku ni mali ya chama/umma kama polisi na mahakama yetu na wewe una ushahidi hii serikali haramu si ifungue mashitaka kwa ajili yake.Kampeni zimewadodea hata wanatoto wanawakimbia mnaona aibu unamwibukia mbowe bila aibu
 
Bora tulichoka mwenyekiti huyo huyo miaka kenda rudi,tunasubiri kuona mtamuweka nani watu wa ufipa..........binafsi mm sio wa upande huo😀🙂🙁...........najiandaa kuangalia hii samabsoti itaishaje basi
 
Mnateseka sana aisee!

Serikali za mtaa angefeli wapi?

Mmewaengua 98% ya wagombea wote,hapo kuna uchaguzi?

Mngeacha watu mpambane kwenye sanduku,hamuwezi maana mnajua wapinzani wana ushawishi beyond normal!

Uchaguzi wa chama?

Kachukue fomu na wewe ugombee!

Mengine yote ni speculations ambazo hata hazina relevancy yeyote!
 
Sasa mtoa post ya Chadema yanakuhusu nini kwa mfano.
 
Back
Top Bottom