Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

Sasa ninyi chama cha Mabashite hamfurahii ushindi wa kishindo? Kumbe Mbowe anawatesa sana eeh. Na atachaguliwa tena mpka mtakapo tia Adabu Pimbi ninyi wa Lumumba buku7. Tuna imani na Mbowe kuliko yule jamaa yenu muathirika wa Sumu.
 
mwananyaso,

Kwa hiyo yeye ndiye aliyewaambia watendaji wafunge ofisi na wasichukue fomu zilizorudishwa na wagombea?
Je jeje ndiye aliyeaambia wasimamizi wa uchaguzi wawaengue wagombea wa vyama pinzani?

tunaomba majibu
 
Mbowe kawapa la katikati Majizi na Mauwaji nyinyi ama mnatapatapa Kinyama.
 
Ukweli Mbowe ana PhD ya siasa maana kapindua meza bila kutumia nguvu yaani wameingia mkenge kilaini kwa kuguswa makalio unamchoma mtu kisu hii imesha kuwa mada kesi yanayofuata nikujiosha
 
hapo ume nena. maana hawachelewi kupandikiza watu wao. au kuwazimia taa ili wapigane.. nakimbuka enzi za NCCR kule Tanga..
Haya, hatimaye yametimis. Sijui yule anayejiita Jaji Kaijage ayakuja na ngonjera gani tena!
 
Safi Sana. CHADEMA inaiishi demokrasia ya kweli. Chadema hakuna nafasi yoyote hata ile ya mwenyekiti ambayo itagombewa baina ya mtu na kivuli. Ni mtu kwa mtu/watu. Hongereni sana CHADEMA
Chaguaneni huko huko ila ikulu mtaisikia tu tbc sababu watanzania ndio tumeamua.
 
bora tulichoka mwenyekiti huyo huyo miaka kenda rudi,tunasubiri kuona mtamuweka nani watu wa ufipa..........binafsi mm sio wa upande huo😀🙂🙁...........najiandaa kuangalia hii samabsoti itaishaje basi
AZORY YUKO WAPI?
 
Back
Top Bottom