Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

Hapo CCM wanaangaika hawalali usiku na mchana kupenyeza mamluki.CCM bila figisu na usaidizi wa dola kimeshajifia kitambo!
 
Demokrasia ipi? Mbona nimepitia post zako sijaona ukipigania Uhuru sawa kwa vyama kufanya siasa za ushindani? Hujawahi kulaani kamata kamata ya viongozi wa upinzani? Bunge huru na mengine kama hayo? Au ustawi gani unauzungumzia?
Usawa kwa vyama vyote upo, sema wapinzani wanapenda attention. Kukamatwa kwa viongozi wa upinzani ni sawa iwapo wamevunja sheria. Hakuna aliye juu ya sheria. Na bahati nzuri hupelekwa mahakamani. Wakishinda vizuri. Wakishindwa, wanahukumiwa. Ndio demokrasia hiyo!
 
Mbowe aliiporomosha ccm kutoka 95%- 66% mwaka 2005- 2010 ,
Mwaka 2010-2015 akaiporomosha kutoka 66%- 36%
Ccm wametapata taabu sana, tunasema deformed beyond repair
Siyo Mbowe ni Dr. Slaa.
 
Mbepo yamba,
HAHAAA N UCHAGUZI N UTEUZI
MAANA TIKAAA 1995 YUPOOOOO

SASA MMNAPIGA KELELE SERKL ZA.MITAA OOH CCM .......MWISHA HUOSHWAA DEMOKARIA INAANZIA MAJUMBANI MWENU MKIWA AMNA.UPENDO NANI ATAWAPENDA NJE
 
MNAPIGA KELELE CCM UCHAGUZI WANAJUA NAN MSHINDI

KWANI MPAKA SASA MNAITA UCHAGUZI WA MWENY AMJUI NANI MWENYEKIT ANAENDA KUTEULIWA
MNAWADANGANYA MA POPOMPO WENU

KUSHIRIKI UCHAGUZI WAKATI MNAJUA MSHINDINANI.......SINDANI IKIINGIZWA NYUMA LAZIMA ITTOKEEE UPANDE WA PILI KUWENI WA POLE TU
 
Mbepo yamba,
CHAMA KIKUU CHA UPINZANI, BINGWA WA SEMOKRASIA WANAOIISHI DEMOKRASIA

1. Ila ilibidi msajili wa vyama awatie utambi ndio mtangaze tarehe ya uchaguzi?

2. Ila kiliwajeruhi wafia chama kwa sababu ya pesa

3. Nafasi za ubunge wa kuteuliwa wanapewa bandugu na waliovuliwa pichu na kamati kuu.

Kajipange upya mkuu
 
Mbepo yamba,
Inawezekana kuna "PLEA BARGAIN" kwenye kesi ya DJ kuwa asiendelee kuwa Mwenyekiti ili wachomeke PANDIKIZI lao ambalo litaishia kuunga mkono juhudi.
 
Aibu kubwa kwa mwenyekiti kufikia hatua ya kutaka kutawala maisha kama mfalme. hakuna kufanya UFALME, UCHIFU wala UTEMI Tanzania
Hivi mgombea wenu wa urais ndio anakuwa MWENYEKITI WA CHAMA....?AU ANAGOMBEA NA KIVULI CHAKE?NIFAFANULIE HAPA MKUU
 
Kwa siasa za sasa ktk safu mpya ya uongozi wasikosekana watu aina ya Heche, Lissu, Lema, Mdee ama Sugu, nafikiri watazungumza lugha ambayo itaeleweka na CCM tuelekeapo uchaguzi wa 2020. Licha ya mbeleko kubwa kupitia vyombo vya dola "CCM has its own Achilles' of heel". Ndiyo! Inawaogopa sana makada hawa. Chochote kile wakisemacho matumbo yao hupata moto.
 
mwananyaso,
Hizi pumba ulizoandika zitafaa kweli kulisha nguruwe zangu au NA ZENYEWE NI PUMBA ZITOKANAZO NA PUMBA?
 
HAHAAA N UCHAGUZI N UTEUZI
MAANA TIKAAA 1995 YUPOOOOO

SASA MMNAPIGA KELELE SERKL ZA.MITAA OOH CCM .......MWISHA HUOSHWAA DEMOKARIA INAANZIA MAJUMBANI MWENU MKIWA AMNA.UPENDO NANI ATAWAPENDA NJE
Nenda UPE ukajifunze kuandika,then rudi hapa...au nenda Facebook
 
Mbowe hataki tu kuachia uenyekiti, je akipewa u Rais si ndio atakataa kuondoka Ikulu na atahamishia hela zetu za BOT alale nazo home😊
 
Changamoto ninayoiona ni kuwa mwanachama wa chadema then ukatongozwa na polepole ukajifanya unahamia ccm. Kwani kiongozi kufanya vizuri unahamia kwake? Hamia basi na kwenye kitanda chake akushughurikie.
Naamini unaweza kufurahishwa na utendaji wa kiongozi kwa kuangalia ukuaji wa uchumi. mfano siku bei ya petrol iki- drop kutoka bei iliyopo kuwa labda three digit mfano 1- 900. I will be convinced that our Economy has stabilized. Lakini hizi ngonjera za hawa viongozi wa sasa sitawaamini. Just imagine shule za msingi hapa Dar watoto wanakaa sakafuni kumsiiliza mwalimu, huku decision makers wakijisifia uchumi umekua, mi naona kinyaa.
 
Uongozi wa Chadema chama kikuu cha upinzani kiko kwenye Mchakato wa kufanya Uchaguzi wa viongozi wao wa Kitaifa.Kumekuwa na makelele mengi ya kumpinga Mh.Mbowe asigombea Uenyekiti wa Chadema kwa awamu nyingine.WanaChadema mnatakiwa muwe makini sana na hao wanaompinga Mh.Mbowe.Mh.Mbowe amekuwa kikwazo katika siasa za Tanzania na kwa taarifa yenu kelele za kumpinga Mh.Mbowe si za WANACHADEMA ni za Upande wa pili hivyo huenda anatafutwa Pandikizi achukue nafasi ya Mh Mbowe ili kuimaliza Chadema.
 
CCM kila baada ya muda fulani wanabadilisha timuyao na bado ata wakibadili timu wanashinda, Chadema timu ni ileile na maranyingi wanapigwa.
Kama kuna mwana CCM anataka chadema ibadili timu atakua hajitambui, CCM itabaki kuwa juu na Salama iwapo Uongozi uliopo wa chadema utaendelea kubaki madarakani. Siku ambayo Chadema itajitambua CCM itakua na wakati ngumu.
 
Vijana wa CHADEMA kwa unafiki hamjambo. Mbona Tundu Lissu hamjamchukulia fomu ya kugombea uongozi CHADEMA wakati mlikuwa mnajitia kuwa ni kipenzi chenu kikubwa?
 
Back
Top Bottom