Mwenyekiti wa Seneti Vyuo Vikuu Iringa auawa na watu wasiojulikana

Mkuki ulikuwa ukirushwa kwa nguruwe, sasa unaelekezwa kwa binadamu.
 
@Joyce joyce wape ado ado bana!
 
Ccm mmeyalea sana haya
 
[emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434] Aluta Continuaaa
 
Poleni sana ...si vema kuuliza hili swali lakini ningependa kujua ni mshabiki wa chama gani
 
Poleni sana ...si vema kuuliza hili swali lakini ningependa kujua ni mshabiki wa chama gani
Mkuu ni shabiki wa mboga mboga
Nyanda za Juu Kusini uende nao na akili ya ziada
Wazee waliokuwa mbogamboga wengi wao wamestaafu na siasa au walitwaliwa na Bwana sasa vijana wa fursa wanajitutumua bila kusoma historia
Apumzike mwanetu
 
Mungu amrehemu
 
MUNGU awape nguvu kipindi hiki kigumu na pole kwa wafiwa
 
Haya yalisemwa siku nyingi sana mkawa manawakejeli waliokua wakiyasema mkafika mbali zaidi mkasema " wapinzani wana jiteka" sasa vipi??? Na huyo kajiteka????
 
Kiukweli ni kijana niliemjua kwa muda mchache wa mwaka mmoja, na pia alikuwa rafiki yangu na alikuwa kijana aliefanya siasa zake vizuri ila sijui ni nini kimemkuta mpaka sasa sijapata majibu , ulale mahali pema peponi jamaa yangu ,,,emmanuel mlelwa ,,,anyway ngoja tuhudhurie mazishi tupate kupoa
 
Nimepokea taaria muda huu kuwa mwenyekiti wa UVCCM tawi la vyuo vikuu mkoa wa Iringa ameuawa kwa sababu za kisiasa. Bado taarifa kamili hazijatolewa ila za awali ni kuwa ameuawa baada ya kuvamia mkutano usiomuhusu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…