Mwenyekiti wa Seneti Vyuo Vikuu Iringa auawa na watu wasiojulikana

Nimepokea taaria muda huu kuwa mwenyekiti wa UVCCM tawi la vyuo vikuu mkoa wa Iringa ameuawa kwa sababu za kisiasa. Bado taarifa kamili hazijatolewa ila za awali ni kuwa ameuawa baada ya kuvamia mkutano usiomuhusu!
Jina?
 
Magufuli alikuwepo mkirushiana mabomu Arusha enzi za Jk?
 
Good
 
Na alipewa zawadi ya ukuu wa wilaya mojawapo mkoani Arusha!
 
Na alipewa zawadi ya ukuu wa wilaya mojawapo mkoani Arusha!
Hao uvccm ni wepesi Kama Maji Ya mlenda tukiamua kuwasilisha adhabu wataisha nchi nzima Kwa Siku tano tu, wapo wachache Sana, wanashindwa Kuelewa kuwa upande wa pili wako wengi ni zaid ya asilimia 80 , wanaowachukia sio chadema Pekee no kuna ACT, kuna na wasio na chama wote hao wakiamua watawapepeta na hata hao polis hawatawasaidia, wao wanadhani polis anaweza kuwalinda had makwao? Tunaweza amua tukawatafuta hata usiku tukawashikisha adhabu na huko ndiko tunakoelekea wasubirie tarehe 28 Kama watajiingiza kumtetea huyo muhutu wao
 
UNYAMA HUU PIA ALIFANYIWA LISSU NA WATANZANIA WENGINE.INASIKITISHA SANA.HATUJUI KESHO NI ZAMU YA NANI
 
Rest in peace mwenyekiti💔
Pole sana kwa wafiwa🙏
 
Tumeishakuambia kuwa hayo mwambie Mwenyekiti wako ndio anaewajua watu wasiojulikana ebbooo, na anawafundisha kuwa wakizingirwa na wananchi Kama ilivyotokea huku tarime tulivyowazingira kumuokoa Peter zakaria wanajisalimisha na kujigeuza kusema kuwa wao ni usalama wa taifa.

Mwenyekiti wenu hajui kuwa huyu ni Ccm wala upinxani yeye ukimpinga Kama kinana na makamba ni kufukuza Halafu anasema kuwa kafukuzwa na Kamati Kuu Wakati kafukuza yeye mwenyewe, ungana na lisu mtaisha nawaambieni haya twende, ulimuona nape jasho lilivyomtoka? Alipoitwa ikulu?
 
Ben Saanane, Mawazo, Akwilina RIP
 
Uongo wenu utakuja julikana tu siku. Mungu anawaona. Msijifanye wajanja wa maneno na kuyumbisha Story.

Ubaya wa CHADEMA unajulikana na matatizo yaliyopo sasa kwenye chama chenu hayo nayo hutaki kuysikia wala kuyaelewa ama kuzungunzia.

Subiri kimbunga kinakuja. Mwogope mtu anaye kaa kimya atakuwa ana mengi anayo yaficha.

Ninauhakika iko siku CHADEMA mtakuja umbuka ile kishenzi.
 
Sasa unataka useme kuwa watu wasiojulikana wameajiriwa na chadema? Kwa hiyo wako chadema Lakini wakitenda kosa la kuuwa, kukamata na kuteka usalama unakataa kufanya uchunguzi ili kumtetea chadema? Daaah unaumri gani Kwanzaa? Nisije nikawa namaliza bando kumjibu Mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…