Mwenyekiti wa Seneti Vyuo Vikuu Iringa auawa na watu wasiojulikana

Labda Kama hujui magufuli ni muuwaji Mkubwa anaajiri magaidi, anaendesha nchi kigaid ipo Siku atatoka Atakiona
 
Mbona kuna tetesi huyo alivamia mkutano usiomhusu wakampa dawa?
Mwenye maelezo ya uhakika atujuze tafadhali
 
To be honest napenda serikali ya chama tofauti ikishika madaraka iwashughulikie wahuni wote , tukianzia na Jiwe
Unajua sasahivi lisu anamiliki mikoa 14 hadi sasa na magufuli 12 ila lisu akiongeza speed kuna mikoa mitatu anaweza pia kumnyanganya magufuli na Zanzibar inaingia Kwa lisu pia
 
Na ccm wanawachukia cdm kwakua wana uwezo zaidi kichwani kuliko ccm
 
To be honest napenda serikali ya chama tofauti ikishika madaraka iwashughulikie wahuni wote , tukianzia na Jiwe
Nyinyi ndio mnafanya wanapata hofu mpaka wako tayari kufanya lolote mradi wasiachie madaraka

Kwa kuwa hamna akili hamuelewi
 
Mimi hata vitendo vya watu kurusha mawe kwenye kampeni navipinga kwa nguvu zote Sasa unarusha mawe bila kujali hata yaue mtu kweli?
 
wabongo muda wote mnazungumzia siasa, na kujibishana, kutusiana na kuongea visivyonamaana, Fanyeni kazi mlee familia zenu, siasa zitawamaliza. Au mliambiwa bila siasa hamtaishi!
 

Mwenyekiti wako wewe unajua wangapi kawafukuza kwenye chama chake kwa kumpinga tu.
Unaijua historia za zitto kabwe kutoka chadema na kwenda kuanzisha ACT.
Huu ni uzi wa msiba hizo kelele zako peleka ufipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…