Mwenyekiti wa Seneti Vyuo Vikuu Iringa auawa na watu wasiojulikana

Hivi we mbona unaongea sana, we kama nani kwanza?
Kwahiyo mmemuua huyu kijana ili msingizie Ccm?
Jiandae ulipo ukaisaidie polisi
 
Inasikitisha sana kwa tulipofikia, Yaani mtu anauliwa au kuumizwa kwa ajili ya mambo ya siasa
Huu ni ujinga na ushamba kabisa....
Hivi ukimua Mwenzako unapata nini&kuongezewa nini!

Ova
 
Hivi we mbuzi mbona unaongea usenge sana,we kama nani kwanza?
Kwahiyo mmemuua huyu kijana ili msingizie Ccm?
Jiandae ulipo ukaisaidie polisi pumbavu kabisa
Polisi waanze na waliowaua kina Mawazo, Ben sa8, Azori na wengineo! Akifa wa upinzani huwa mnajifanya hamuoni! R.i. p kijana, sinaga uchungu na ccm kwa kweli!
 
Mungu ampumzishe salama kijana wa watu.Pole Kwa familia na taifa Kwa ujumla.Natamani siku moja wasiojulikana wajulikane.Hivi kweli kama Taifa bado hatujaweza kufanya uchunguzi wa hizi Mambo.
Basi ifike mahali serikali ipeleke watu nchi za wenzetu huko mbele wakajifunze mambo ya uchunguzi.Manake naona wasiojulikana wanapata kiburi kwasababu hamna wa kuwajua.Wapendwa wetu wengi wanapoteza maisha Kwa style hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wabongo muda wote mnazungumzia siasa, na kujibishana, kutusiana na kuongea visivyonamaana, Fanyeni kazi mlee familia zenu, siasa zitawamaliza. Au mliambiwa bila siasa hamtaishi!
Katika hao wanaobishana kuhusu siasa, kuna hata mmoja alikuja kukuomba hela ya chakula wewe unayefanya kazi ?
 
Nyinyi ndio mnafanya wanapata hofu mpaka wako tayari kufanya lolote mradi wasiachie madaraka

Kwa kuwa hamna akili hamuelewi
Waachie wasiachie ilo lao

Langu mimi ni kuwashughulikia
 
Siasa chuon hazitakiwi..Sijui yeye alkua anafanyaje..RIP...mlio chuoni someni achen mambo ya siasa
 
Alitaka kuhama akashughulikiwa ama?RIP maana hii tabia hii ya kuuana kwa sababu ya tofauti za kisiasa imejaa sana zama hizi
 
Waliomtandika Lissu risasi wako wapi
 
Hivi we mbuzi mbona unaongea usenge sana,we kama nani kwanza?
Kwahiyo mmemuua huyu kijana ili msingizie Ccm?
Jiandae ulipo ukaisaidie polisi pumbavu kabisa

Don't panic Boss

Huyu aliuwawa ni mtanzania kama mawazo, Ben sanane, kaguye, Azory, mwangosi etc

Mungu awalaze mahala pema peponi 🙏
 
Kumbe na wewe ni CCM! Nakuombea DDDD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…