MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ni kweli hata Mimi namjua amedisco mara tatu ndani ya miaka yake mitatu aliyosoma Chuo Kikuu 2006 hadi 2009 na Kuhitimu na Degree yake.Ni vile humjui tu.Huyo mtu namjua vzuri amedisco chuo mara tatu,Hana shule kichwani kabsa.
We POPOMA kaa kimya huna vyeti.Ukiendelea kuongea naweka mambo yako yote hadharaniNi kweli hata Mimi namjua amedisco mara tatu ndani ya miaka yake mitatu aliyosoma Chuo Kikuu 2006 hadi 2009 na Kuhitimu na Degree yake.
Na sijui amedisco vipi mara tatu halafu hapo hapo alioanza nao Mwaka wa Kwanza akina Michael Baruti wa BBC Dar es Salaam Mikocheni na Marehemu Haonga Lutengano wa TBC Taifa na TBC1 pia hao hao alimaliza nao Mwaka wa Tatu.
Kumbe ndiyo maana huwa anawatukana na hadi kuwaambieni hamna Akili awapo hapa JamiiForums na mnakasirika hadi kukimbilia Kumuombea BAN za Makusudi na Kumkomoa.
Akiendelea kuleta jeuri tunaipiga banned na hiyo ID nyingineWe POPOMA kaa kimya huna vyeti.Ukiendelea kuongea naweka mambo yako yote hadharani
Hata Mimi MINOCYCLINE napenda kweli kuona huyo Popoma akiwekwa hadharani kwakuwa ananikera kwa kuwa na Akili Kubwa kuliko Mimi na Wewe ambao ni MAJUHA Kiasili.We POPOMA kaa kimya huna vyeti.Ukiendelea kuongea naweka mambo yako yote hadharani
Dawa yako ni BAN za kutosha tu.Hata Mimi MINOCYCLINE napenda kweli kuona huyo Popoma akiwekwa hadharani kwakuwa ananikera kwa kuwa na Akili Kubwa kuliko Mimi na Wewe ambao ni MAJUHA Kiasili.
Fanya upesi kwa Kumuanika na usisahau Kunitagi JUHA Mwenzako tafadhali sawa?
Ndo dawa yake hyoAkiendelea kuleta jeuri tunaipiga banned na hiyo ID nyingine
Umeshawahi kuona ID hii yangu na ya pekee hapa JamiiForums ya MINOCYCLINE inapigwa au imepigwa BAN? JUHA Mkubwa Wewe.Dawa yako ni BAN za kutosha tu.
We tukana tu,bahati nzuri hakuna mwanajamiiforums asiyejua kichwani kwako kuna nini.Umeshawahi kuona ID hii yangu na ya pekee hapa JamiiForums ya MINOCYCLINE inapigwa au imepigwa BAN? JUHA Mkubwa Wewe.
JUHA.We tukana tu,bahati nzuri hakuna mwanajamiiforums asiyejua kichwani kwako kuna nini.
Soon utaingia kwenye 18 zangu,utajuq hujui dadekiii,nitakuanika hapa na utapigwa na members kama ngomaJUHA.
JUHA.Soon utaingia kwenye 18 zangu,utajuq hujui dadekiii,nitakuanika hapa na utapigwa na members kama ngoma