MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ni kweli hata Mimi namjua amedisco mara tatu ndani ya miaka yake mitatu aliyosoma Chuo Kikuu 2006 hadi 2009 na Kuhitimu na Degree yake.Ni vile humjui tu.Huyo mtu namjua vzuri amedisco chuo mara tatu,Hana shule kichwani kabsa.
Na sijui amedisco vipi mara tatu halafu hapo hapo alioanza nao Mwaka wa Kwanza akina Michael Baruti wa BBC Dar es Salaam Mikocheni na Marehemu Haonga Lutengano wa TBC Taifa na TBC1 pia hao hao alimaliza nao Mwaka wa Tatu.
Kumbe ndiyo maana huwa anawatukana na hadi kuwaambieni hamna Akili awapo hapa JamiiForums na mnakasirika hadi kukimbilia Kumuombea BAN za Makusudi na Kumkomoa.