Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu acha 'Kujishtukia' na 'Kujihami' tunakujua Wewe ndiyo 'Kirusi' Kikuu ndani ya Klabu yetu

Ni vile humjui tu.Huyo mtu namjua vzuri amedisco chuo mara tatu,Hana shule kichwani kabsa.
Ni kweli hata Mimi namjua amedisco mara tatu ndani ya miaka yake mitatu aliyosoma Chuo Kikuu 2006 hadi 2009 na Kuhitimu na Degree yake.

Na sijui amedisco vipi mara tatu halafu hapo hapo alioanza nao Mwaka wa Kwanza akina Michael Baruti wa BBC Dar es Salaam Mikocheni na Marehemu Haonga Lutengano wa TBC Taifa na TBC1 pia hao hao alimaliza nao Mwaka wa Tatu.

Kumbe ndiyo maana huwa anawatukana na hadi kuwaambieni hamna Akili awapo hapa JamiiForums na mnakasirika hadi kukimbilia Kumuombea BAN za Makusudi na Kumkomoa.
 
We POPOMA kaa kimya huna vyeti.Ukiendelea kuongea naweka mambo yako yote hadharani
 
Hata Mimi MINOCYCLINE napenda kweli kuona huyo Popoma akiwekwa hadharani kwakuwa ananikera kwa kuwa na Akili Kubwa kuliko Mimi na Wewe ambao ni MAJUHA Kiasili.

Fanya upesi kwa Kumuanika na usisahau Kunitagi JUHA Mwenzako tafadhali sawa?
 
Dawa yako ni BAN za kutosha tu.
 
Umeshawahi kuona ID hii yangu na ya pekee hapa JamiiForums ya MINOCYCLINE inapigwa au imepigwa BAN? JUHA Mkubwa Wewe.
We tukana tu,bahati nzuri hakuna mwanajamiiforums asiyejua kichwani kwako kuna nini.
 
WANANCHIIIIIIIIIIOOOOOOOOO. LEO NDIO ILE SIKU AMBAYO WANAYANGA WOTE TUNA BANG NAYO .
YAANI MAKOLO LEO NDIO RASMI WANAGEUZA VYOO MAHALA PAO PA KULILIA.
TUNAENDA KUTINGA FAINALI RASMI KWENYE ARDHI YA UGENINI.
MARK MY WORDS
 
Back
Top Bottom