Return Of Undertaker,
Hao Mbowe na Zitto ni CCM kuliko huyo James kama alikuwa hajui ndio ajue sasa!
Kukanyagwa kanyagwa?Njoo uchangie tena kwa kilichomtokea Mbowe.
Tayari mambo yameanzaMwenyekiti wa UVCCM Taifa, Heri James amewalaumu vijana wa CCM Tanzania kuwaacha wanasiasa wa upinzani Zitto Kabwe na Freeman Mbowe wakitembea mitaani bila kubughudhiwa/kushambuliwa kwa madai kuwa wanataka kulipasua taifa kwa vitendo vyao vya kuhujumu Serikali na Taifa
Naye Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa, Kenani Kihongosi amesema wapinzani wanaoichafua Serikali wanapaswa kukosolewa au Kuuawa kabisa.
UPDATE: Katibu Mkuu wa CCM amekemea kauli hizi > Dr Bashiru aonya kauli tata za makada wa CCM, ni zile za kuwatisha wapinzani!
Hawezi kujaNjoo uchangie tena kwa kilichomtokea Mbowe.
Tayari.........imefanyiwa kazi?Kuna kauli zinatolewa na UVCCM za kuua watu, this is HATE SPEACH!!! kwa nini hamchukui hatua?. Mimi nadocument hizi clips zote na natarajia kuziwakilisha kwa Fatou Bensouda kabla ya uchaguzi mkuu October 2020.
View attachment 1344467
UPDATE: Katibu Mkuu wa CCM amekemea kauli hizi > Dr Bashiru aonya kauli tata za makada wa CCM, ni zile za kuwatisha wapinzani!
Na sayansi ni kukanyaga kanyaga.Kukanyagwa kanyagwa?
Siasa ni sayansi bwashee!
Mungu anawaona