Mwenyekiti wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) Joseph Paulo anadaiwa kukamatwa na polisi mkoani Geita

Hata Alishabab iliinza hivi hivi serikali toeni ajira acheni kununua V8 ilihali vijana wanateseka mtaani.
Watoe ajira zipi tena mkuu, c walimu wanafanya usaili na wanaajiriwa au unataka ajira gn tena?
 
Wana Neto wangepambana kama sisi wenzao kukubali ukweli, mimi kama jobless mwenye degree nimekubali kwenda garage kujifunza, vitu tofauti sahvi naweza kuendesha 👉Ata Costa
👉Bajaji
👉Naweza ufundi wa umeme wa magari
👉Kupaka rangi
👉U-Mc msaidizi

Itabidi waangalie nje ya box
Unaweza kuta wengine walivitupa vipawa vyao, baada ya kupata degree zao and diploma
Waangalie vipaji vyao
 
Nilijua tu machawa na wajuaji kama nyingi hamuwezi kukosekanaa.
 
Acheni vijana wajipambanie , Kama hauwezi kuwaunga mkono waache wengine watawaunga mkono .

Unafikiri wangekaa kimya Serikali ingefikiria kuboresha Madai yao .



Hoja zao ni za msingi Sana
Wanapokosea namna ya kushinikiza madai yao lazima tuseme, hilo ni swala la lazima kabisa.
 
Watoe ajira zipi tena mkuu, c walimu wanafanya usaili na wanaajiriwa au unataka ajira gn tena?
Ratio ya graduates na ajira zinazotolewa ni mbingu na nchi...hizo nafasi zote zinajazwa na vyuo vya UDSM, UDOM na SAUT tu, sasa wengine waende wapi, shule za private kutokana na usimamizi mbovu wa serikali wanalipa mpaka laki na nusu, haya ni Matatizo, na hizi Ajira kiduchu kiduchu ndio zinazidi kutia watu Hasira.
 
Ebu kuwa verified user kwanza hapa JF alafu ndio uje tuongee ukiwa jasiri kweli. Unaniita muoga alafu wewe umejificha utambulisho wako, mbona kama hautoshi kuniambia hivyo Mkuu.
Kuwa verified hakuna uhusiano wowote na tunacozungumzia hapa, yapo mengi zaidi ya huo ujingq ulionao unaopelekea tuwe unverified upo we kibanga
 
Nilijua tu machawa na wajuaji kama nyingi hamuwezi kukosekanaa.
Nendeni hapo kituoni mkamsaidieni kijana mwenzenu basi atoke. Nyie mnaongea tu hapa alafu hata chai hamumpelekei hapo kituoni, mnaacha anashughulikiwa na mjomba yake tu.

Kweli mchuma janga, hula na wakwao.
 
Nendeni hapo kituoni mkamsaidieni kijana mwenzenu basi atoke. Nyie mnaongea tu hapa alafu hata chai hamumpelekei hapo kituoni, mnaacha anashughulikiwa na mjomba yake tu.

Kweli mchuma janga, hula na wakwao.
Mijinga kama wewe mpo wengi si ajabu eti na wewe kuna mwanamke au familia inakutegemea
 
Msiwaingilie Mkuu kwakuwa hamuelewi nini wanapitia
Kwani wao pekee ndio wahanga wa ajira?, hata kama wakiwa ni miongoni mwa wahanga hakuna uhalali wa kuvunja sheria yoyote ya nchi.

Uanaharakati bila kujua mifumo inavyofanya kazi ni upuuzi na mwisho wa yote ni maumivu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…