Animal Farm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 234
- 281
Ni hovyo sana! Walimu hata ajira hawana watu wanapaniki kiasi hicho?Wewe unaona ni OCD tu kaamua,hayo ni maagizo kutoka juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hovyo sana! Walimu hata ajira hawana watu wanapaniki kiasi hicho?Wewe unaona ni OCD tu kaamua,hayo ni maagizo kutoka juu
Watoe ajira zipi tena mkuu, c walimu wanafanya usaili na wanaajiriwa au unataka ajira gn tena?Hata Alishabab iliinza hivi hivi serikali toeni ajira acheni kununua V8 ilihali vijana wanateseka mtaani.
Hili bomu la under unemployment limelipuka mapema sana!Mwenyekiti wetu wa NETO Joseph Paulo Kaheza amekamatwa na police mkoani Geita. Tumethibitisha hizi taarifa kutoka kwa mjomba wake ambaye alifika katika kituo hicho cha Central Geita Mjini na kutaka kumwekea dhamana kitu ambacho kilishindikana.
Soma Pia: Umoja wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) wakubali wito wa Simbachawene lakini wataka kuwepo na Ulinzi kwenye kikao
View attachment 3248480
Wana Neto wangepambana kama sisi wenzao kukubali ukweli, mimi kama jobless mwenye degree nimekubali kwenda garage kujifunza, vitu tofauti sahvi naweza kuendesha 👉Ata CostaNaomba mfahamu mimi raisi wa chama Cha ma jobless pro max niko salama kabisa.
hao neto sijui neto ni wezi wa sera na jina letu la ma jobless pro max,
Raisi wa chama Cha ma jobless pro max ni Intelligent businessman.
makamu wake ni Bolotoba.
katibu wa ma jobless ni min -me, mratibu wa mipango ni Edo kissy.
Wakili wa ma jobless ni Selikavu
waziri wa mambo ya ndani ni Thecoder, na msemaji wa chama Cha ma jobless pro max ni makutupora.
Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
View attachment 3248564
Nilijua tu machawa na wajuaji kama nyingi hamuwezi kukosekanaa.Labda kuzua taharuki na kusambaza taarifa za uongo mtandaoni. Unajua ukitamka jambo la kitakwimu inabidi uwe makini sana.
Hawa walitakiwa hizo hotuba na maelezo yao yote wapitishe kwenye jopo la mawakili, ili kuangalia madhara na matokeo yake. Hivyo ndio mambo yanapaswa kwenda na sio hivi kwenda kiholela, lazima uzingue tu na unajua Jamhuri haina time na raia mwema (mfuata sheria) tatizo lipo ukijichanganya pahali tu wana wewe.
Huyu jamaa nilimsikiliza kidogo ila nikajua hapa na hapa kazingua na wameruka naye tayari.
Vijana tunataki tujue kuwa tufanye yote ila kamwe tusijaribu kusababisha kitisho kwenye usalama wa hili taifa, utapotea na hakuna atakayejutia. Sasa kutaka kuinua hasira za graduates ni big move inayoitaji akili sana, sio jambo la mchezo au masihara.
Mkuu,Na hapo unaweza kuta OCD tu baada ya kuona ile clip kaagiza vijana wake mkamateni bila hata reasoning
Wanapokosea namna ya kushinikiza madai yao lazima tuseme, hilo ni swala la lazima kabisa.Acheni vijana wajipambanie , Kama hauwezi kuwaunga mkono waache wengine watawaunga mkono .
Unafikiri wangekaa kimya Serikali ingefikiria kuboresha Madai yao .
Hoja zao ni za msingi Sana
Vijana Bangi msichanganye na Sigara kali.NETO wanaweza kuwa Chama cha Upinzani kizuri na kushika dola kuliko vilivyopo!!
Ebu kuwa verified user kwanza hapa JF alafu ndio uje tuongee ukiwa jasiri kweli. Unaniita muoga alafu wewe umejificha utambulisho wako, mbona kama hautoshi kuniambia hivyo Mkuu.Vijana waoga waoga kama ww mnastahili kuwa chakula cha mamba
Ratio ya graduates na ajira zinazotolewa ni mbingu na nchi...hizo nafasi zote zinajazwa na vyuo vya UDSM, UDOM na SAUT tu, sasa wengine waende wapi, shule za private kutokana na usimamizi mbovu wa serikali wanalipa mpaka laki na nusu, haya ni Matatizo, na hizi Ajira kiduchu kiduchu ndio zinazidi kutia watu Hasira.Watoe ajira zipi tena mkuu, c walimu wanafanya usaili na wanaajiriwa au unataka ajira gn tena?
Msiwaingilie Mkuu kwakuwa hamuelewi nini wanapitiaWanapokosea namna ya kushinikiza madai yao lazima tuseme, hilo ni swala la lazima kabisa.
Kuwa verified hakuna uhusiano wowote na tunacozungumzia hapa, yapo mengi zaidi ya huo ujingq ulionao unaopelekea tuwe unverified upo we kibangaEbu kuwa verified user kwanza hapa JF alafu ndio uje tuongee ukiwa jasiri kweli. Unaniita muoga alafu wewe umejificha utambulisho wako, mbona kama hautoshi kuniambia hivyo Mkuu.
Nendeni hapo kituoni mkamsaidieni kijana mwenzenu basi atoke. Nyie mnaongea tu hapa alafu hata chai hamumpelekei hapo kituoni, mnaacha anashughulikiwa na mjomba yake tu.Nilijua tu machawa na wajuaji kama nyingi hamuwezi kukosekanaa.
Mijinga kama wewe mpo wengi si ajabu eti na wewe kuna mwanamke au familia inakutegemeaNendeni hapo kituoni mkamsaidieni kijana mwenzenu basi atoke. Nyie mnaongea tu hapa alafu hata chai hamumpelekei hapo kituoni, mnaacha anashughulikiwa na mjomba yake tu.
Kweli mchuma janga, hula na wakwao.
Kwani wao pekee ndio wahanga wa ajira?, hata kama wakiwa ni miongoni mwa wahanga hakuna uhalali wa kuvunja sheria yoyote ya nchi.Msiwaingilie Mkuu kwakuwa hamuelewi nini wanapitia
Usiwe na wasi wasi ukikua utajua Mkuu.Mijinga kama wewe mpo wengi si ajabu eti na wewe kuna mwanamke au familia inakutegemea
Mamaako anajua kama mimi na baba yako wa hiari kwahiyo kuhusu kukua kwangu muulize mama yakoUsiwe na wasi wasi ukikua utajua Mkuu.
Amri kutoka juuSasa polisi kwa kosa gani? Tena kunyimwa dhamana mbona polisi wanafanya mambo ya ajabu hivi?