Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We hamnazo kweli,achana na club ya wanaume deal na tope lako.Du, afadhali sasa wanayanga wataendesha klabu yao kwa maslahi ya klabu maana huyu kanji alikuwa amedhamiria kuinyonya yanga kama kupe kwa muda wa miaka 10! Yanga oyeeeeeee!
Mgogoro mkubwa sana unanukia jangwani
Manji amejitahidi sana kumaliza mgogoro wa yanga Asili vs yanga kampuni pia vile vikundi vya migogoro sugu.Mnonge mnyongeni lkn haki yake mpeni manji alifanya kaz kubwa yanga
Nani wamelianzisha??Tayari muda huu,zengwe jangwani,na polisi washafika
Huyo Chirwa wahesabu wamepata hasara.!Sasa nani atamlipa mshahara Obrey Chirwa, mchezaji ghali kuliko wote katika VPL aliyesajiliwa kwa gharama ya 200M? Hapo lazima watu wachanganyikiwe, hasa wanaosalia madarakani. Naamini wengi kama sio wote watakimbia nafasi zao
Yanga itafungwa na kila Timu maana waliosalia yanga hawana uwezo wa kuhudumia Timu pasipo kutegemea mapato ya mlangoni.Yanga asili hio inanukia
Cc:Tarimba Abbas
We hamnazo kweli,achana na club ya wanaume deal na tope lako.
Hii vita ya Mengi VS Manji mwishowe si mzuri kabisaaYanga itafungwa na kila Timu maana waliosalia yanga hawana uwezo wa kuhudumia Timu pasipo kutegemea mapato ya mlangoni.