Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameamua kujiuzulu nafasi yake

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameamua kujiuzulu nafasi yake

taarifa hizi ni za kweli fitna imeanza jangwani ikiongozwa na akilimali
 
Nina furaha sana Huyu jamaa kuondoka hapo yanga katunyanyasa saba na pesa zake na yeye ndio alikuwa mchawi wetu Nina imani sasa tutapumua
 
Sasa nani atamlipa mshahara Obrey Chirwa, mchezaji ghali kuliko wote katika VPL aliyesajiliwa kwa gharama ya 200M? Hapo lazima watu wachanganyikiwe, hasa wanaosalia madarakani. Naamini wengi kama sio wote watakimbia nafasi zao
 
Inamaa Manji akisepa si kuna watu watakufa kwa njaa hapo? Mzee Mengi labla aingilie kati achukue hyo nafasi aliyokuwa anaitaka mda mrefu
 
Alikataa hata kutaja bei ya kukodi Yanga kwa huo muda wa miaka 10
 
nmefurahi mno, timu yetu sasa imepata uhuru. aje rasmi kama muwekezaji
 
Kuna madalali wa fitna za soka wanashinda kwa Mengi kuchukua pesa kisha kuleta chokochoko kwa kumtukana manji ili akimbie mengi achukue Timu, lakini huyo mengi anapaswa kujua methali hii ( ukiona mwenzio ananyolewa ww tia maji
 
Du, afadhali sasa wanayanga wataendesha klabu yao kwa maslahi ya klabu maana huyu kanji alikuwa amedhamiria kuinyonya yanga kama kupe kwa muda wa miaka 10! Yanga oyeeeeeee!
We hamnazo kweli,achana na club ya wanaume deal na tope lako.
 
Sasa nani atamlipa mshahara Obrey Chirwa, mchezaji ghali kuliko wote katika VPL aliyesajiliwa kwa gharama ya 200M? Hapo lazima watu wachanganyikiwe, hasa wanaosalia madarakani. Naamini wengi kama sio wote watakimbia nafasi zao
Huyo Chirwa wahesabu wamepata hasara.!
 
Yanga itafungwa na kila Timu maana waliosalia yanga hawana uwezo wa kuhudumia Timu pasipo kutegemea mapato ya mlangoni.
Hii vita ya Mengi VS Manji mwishowe si mzuri kabisaa
 
Lakini mbona shutuma zenyewe hazijawekwa wazi sana..!
 
Whatever the case, Yanga itasonga mbele. Kama ni kweli yule mtu wa 65 billion ajitojeze mapema.
 
Back
Top Bottom