Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu CCM Taifa, Rais Dkt. Magufuli tafadhali achana na Kauli kama hii katika 'Kampeni' zako kwani zinakuharibia na zinachanganya

Wanaofirahia kauli hizi ni wale ambao kula yao inategemea Magufuli kaamkaje, ni wale ambao hata akijamba wanashangilia.
Watanzania tukimuacha huyu aendelee na kauli zake tutakuwa tunahalalisha ubabe na baadaye itaonekana ni sahihi sehemu ambako kuna mwakilishi anayetoka chama tofauti na kilichoko madarakani kusipelekwe maendeleo. Katiba yetu inatambua vyama vingi kama mfumo sahihi wa kisiasa nchini, lakini tunaanza kusikia mtu mmoja anaharamisha mfumo wa vyama vingi na kuna mburura wanashangilia.
 
Hee! mwenzetu kumbe bado uko nyuma sana... mbona zilishazoeleka hizi, na zimejaa vichwani mwetu. Hata kama ataacha kusema kauli hizi leo is too late! Zilishaingia na kujaa akilini mwetu!
Na kwa vile tuna akili zetu, tutazifanyia kazi comes October!
 
Labda watakusikiliza wewe mwenzao. He's shooting himself in the foot.
 
Unachoka na nini mkuu?

Ukichoka we hama tuachie mtu wetu. Sie tunamuelewa sana bwana Jiwe.

Msema kweli mpenzi wa "mungu".
 
Kwel ujinga na ushamba ni mzigo mzito
 
Mshambiwa Ni kiongozi wa malaika yule

Nyie binadamu acheni kelele zenu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]
 
Officially maendeleo yana vyama...ndicho anachokitangaza hadharani!
Kauli za raisi wa watanzania wote, maendeleo hayana chama ANAZIFYEKELEA MBALI!

#Twende_na_Rungwe_2020
#Tukashibe_ubwabwa_kuku

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Wakisema hawalipi kodi, je hawataguswa?
 
Kampeni za aina hiyo zinafanyika, maneno ya kudhihirisha ni jinsi gani budget maeneo ya upinzani zinapindishwa, tume ya uchaguzi ipo kimya. Ikiambiwa haina uhalali wa kuwepo, inafura. Kuna muda watanzania watachoka, na atakaewafikisha hapo ni CCM.
 
Mi naona apumzike kupiga campaign au awe anasoma speech.. Inatakiwa akubaliane na hali halisi kuwa hana simile kwenye kuongea mambo ya kusema hapa sileti kitu kisa umechagua upinzan haileti maana ya kuwa wote ni raia wa nchi moja
 
Sio kauli za kibabe Bali kibaguzi
 
Nadhani Hapa watu tumeshindwa kutofautisha JPM ni Nani na Kwa wakati Gani
Kwa sasa Magufuri ni Mgombea uraisi kupitia CCM, Ananadi Sera Kwa njia kichama lakin muda huo huo anaitumia kofia ya URais Ambayo Bado anayo Hadi sasa kuombea Kura!!
Kauli kama hiyo uliyo I note hapo!! Kama Una mihemuko yako ya kisiasa utakurupuka kuwa unafokewa
Lakini sivyo JPM kapeleka miradi mbalimbali ya maenndeleo Majimbo mengi Tu ya Upinzani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…