Mwenyezi Mungu angeongeza siku za kuishi walau miaka 100,hii 60-70 haitoshi kutimiza malengo yetu

Niliona picha zao kitaalamu tunaita reencanation ila kiuhalisia haipo
Ipo ila kumbukumbu za nyuma huwa hazirudi tena hata ukikutana na dingi yako wa zamani unakua humjui na yeye hakujui
 
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.
 
je, ukiishi miaka 100 itakusaidia nini ?
kuna watu walishafanya mambo makubwa wakiwa kwenue miaka 30 tuu,

hata ikitokea umetimiza malengo yako yote na ukafika hadi miaka 120 ukafa, faida yako ipo wapi ?

labda kama malengo yako yana impact kwenye maisha na vizazi vingine mfano aliegudia simu n.k

ila kama ni malengo ya kuishi maisha mazuri, kuwa na gari kali nyumba kali na malengo mengine kama hayo "ni ubatili" hata ukiishi miaka 200 haisaidii

imagine ukipotea ndo jumla hata ukiongezewa miaka 100 itasaidia nini ?
 
MImi binafsi kwa sasa sioni kwa nini nilizaliwa.
Ili iweje?
 
Kiukweli ukisoma zile tarehe za kuzaliwa na kufariki kwenye makaburi. Hata ukiwa na miaka 30 pekee utaona umeishi sana na wala sio mdogo sana kufariki kama tunavyojiaminisha
 
Aiseee,yaan umekaa makaburin ukaanza kutoa miaka ya kuzaliwa na kufa,we kiboko
 
Ili tu muendelee kutombana?
 
MImi binafsi kwa sasa sioni kwa nini nilizaliwa.
Ili iweje?
mamilioni ya miaka yamepita vizazi vinakuja vinaishi vinakufa vinakuja vingine, vinaishi vinakufa na range ya kuishi ndo hii tu,

saivi ndo zamu yetu tupo kwenye lifetime tunaishi tutakufa,
wengine pia watakuja wataishi watakufa,
 
Ukifa Tz siku hiyo hiyo unazaliwa nchi nyingine ila unakua na talent nyingine na wazazi wengine mfano ni Enzo Ferrari alikua ni mtengeneza magari alivyokufa akazaliwa akiwa Mesuit Ozil akawa mcheza mpira ila kazaliwa na sura ileile
population ingebaki kuwa Constant...๐Ÿ™„๐Ÿ™„
 

Hadith

ุญูŽุฏู‘ูŽุซูŽู†ูŽุง ุฅูุจู’ุฑูŽุงู‡ููŠู…ู ุจู’ู†ู ุณูŽุนููŠุฏู ุงู„ู’ุฌูŽูˆู’ู‡ูŽุฑููŠู‘ูุŒ ุญูŽุฏู‘ูŽุซูŽู†ูŽุง ู…ูุญูŽู…ู‘ูŽุฏู ุจู’ู†ู ุฑูŽุจููŠุนูŽุฉูŽุŒ ุนูŽู†ู’ ูƒูŽุงู…ูู„ู ุฃูŽุจููŠ ุงู„ู’ุนูŽู„ุงูŽุกูุŒ ุนูŽู†ู’ ุฃูŽุจููŠ ุตูŽุงู„ูุญูุŒ ุนูŽู†ู’ ุฃูŽุจููŠ ู‡ูุฑูŽูŠู’ุฑูŽุฉูŽุŒ ู‚ูŽุงู„ูŽ ู‚ูŽุงู„ูŽ ุฑูŽุณููˆู„ู ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ุตู„ู‰ ุงู„ู„ู‡ ุนู„ูŠู‡ ูˆุณู„ู… โ€"โ€ ุนูู…ูุฑู ุฃูู…ู‘ูŽุชููŠ ู…ูู†ู’ ุณูุชู‘ููŠู†ูŽ ุณูŽู†ูŽุฉู‹ ุฅูู„ูŽู‰ ุณูŽุจู’ุนููŠู†ูŽ ุณูŽู†ูŽุฉู‹ โ€"โ€ โ€.โ€ ู‚ูŽุงู„ูŽ ุฃูŽุจููˆ ุนููŠุณูŽู‰ ู‡ูŽุฐูŽุง ุญูŽุฏููŠุซูŒ ุญูŽุณูŽู†ูŒ ุบูŽุฑููŠุจูŒ ู…ูู†ู’ ุญูŽุฏููŠุซู ุฃูŽุจููŠ ุตูŽุงู„ูุญู ุนูŽู†ู’ ุฃูŽุจููŠ ู‡ูุฑูŽูŠู’ุฑูŽุฉูŽ ูˆูŽู‚ูŽุฏู’ ุฑููˆููŠูŽ ู…ูู†ู’ ุบูŽูŠู’ุฑู ูˆูŽุฌู’ู‡ู ุนูŽู†ู’ ุฃูŽุจููŠ ู‡ูุฑูŽูŠู’ุฑูŽุฉูŽ โ€.โ€

Abu Hurairah narrated that the Messenger of Allah (๏ทบ) said:
"The lifespan for my Ummah is from sixty years to seventy [years]."

Tafsir kwa kiswahili

"Umri wa kuishi kwa ummah wangu hautozidi miaka 60 hadi 70".

Hasan (Darussalam)

Jami` at-Tirmidhi, 2331
In-Book Reference: Book 36, Hadith 28
English Reference: Vol. 4, Book 10, Hadith 2331
 
Ukifa Tz siku hiyo hiyo unazaliwa nchi nyingine ila unakua na talent nyingine na wazazi wengine mfano ni Enzo Ferrari alikua ni mtengeneza magari alivyokufa akazaliwa akiwa Mesuit Ozil akawa mcheza mpira ila kazaliwa na sura ileile
reincarnation
 
Ki-Biblia Mungu aliwapa wanadamu miaka mingi ya kuishi duniani. Mfano.
1. Adamu akaishi miaka 930 naye akafa. Mwanzo 5:5.
2. Siku zote za Yeredi ni miaka 962 akafa Mwanzo 5:20. Nk nk.

Lakini jeuri ya mwanadamu ndiyo ilifanya Mungu apunguze miaka kutoka 900+ hadi 120 tunasoma MWANZO 6:3 "..siku zake zitakuwa miaka 120".

Na bado hali imezidi kuwa mbaya na Mungu anapunguza kimya kimya bila taarifa. Hadi Daudi alipogundua kuwa hata kufika miaka 120 imekuwa vigumu na akasema ni 70, 80 ingawa baadhi wanafika 100 wamechoka.

Mtu mmoja akasema, kama dunia haitafika tamati, miaka ijayo mtu wa miaka 15 atakuwa mzee kabisa.

Tumshukuru Mungu kwa kila jambo. Tumche yeye naye atatubariki kwa miaka mingi.
 
Na kuteseka kote Huku tunako pitia katika nyakati za uhai bado mnataka miaka iongezeke duhh!!! ๐Ÿ˜ฉ
 
Ukimpa sababu zenye mashiko kwa kipimo chake anakuongezea hadi uanze kutamani kufa.
 
Ni sawa na kusema mpira uwe dakika 120 kisa Tabora alimfunga Yanga..

Kijana komaa na maisha, Maendeleo hayana Deadline
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ