Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Ipo ila kumbukumbu za nyuma huwa hazirudi tena hata ukikutana na dingi yako wa zamani unakua humjui na yeye hakujuiNiliona picha zao kitaalamu tunaita reencanation ila kiuhalisia haipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo ila kumbukumbu za nyuma huwa hazirudi tena hata ukikutana na dingi yako wa zamani unakua humjui na yeye hakujuiNiliona picha zao kitaalamu tunaita reencanation ila kiuhalisia haipo
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.Hebu nenda kwenye makaburi ya umma ya wakristo utarudi nyumbani na kusema asante Mungu.
Kumbe watanzania wengi hatutoboi 70,Yaani narehemu wengi ni miaka 50 kushuka chini,
Kwa mujibu wa sensa iliyopita idadi ya wazee kuanzia miaka 60 hawazidi 10 percent,
Serikali inashindwa nini kuwapa bima ya bure wazee hawaili waendelee kuishi?
Unajua ni kwa niniwaganga wa jadi husema tukaroge makaburini?
Makaburi mengi yamejaa marehemu waluokufa bila kutimiza ndoto zao,ndoto nyingi ziko makaburini kuliko duniani,umienda kuroga makaburini unachota ndoto za watu waliokufa bila kuzitimiza,
Kuna vijana waligraduate ule mwaka JPM anaingia ikulu mpaka leo hawana ajira,miaka 30+ hawajaoa ,hawana watoto,hawana kazi,alafu wanakufa miaka 20 ijayo,harusi nyingi High table kutakuwa hakuna waxazi ,wote marehemu.
Kwa wale matajiri nao wapate muda wa kula naisha kidogo,sio unakufa unaachia mali watu wengine hata hawajui zimeoatikanaje
Mungu tuongezee siku kwa kweli,mbona kwenye Biblia akina Yakobo waliishi miaka mingi
MImi binafsi kwa sasa sioni kwa nini nilizaliwa.je, ukiishi miaka 100 itakusaidia nini ?
kuna watu walishafanya mambo makubwa wakiwa kwenue miaka 30 tuu,
hata ikitokea umetimiza malengo yako yote na ukafika hadi miaka 120 ukafa, faida yako ipo wapi ?
labda kama malengo yako yana impact kwenye maisha na vizazi vingine mfano aliegudia simu n.k
ila kama ni malengo ya kuishi maisha mazuri, kuwa na gari kali nyumba kali na malengo mengine kama hayo "ni ubatili" hata ukiishi miaka 200 haisaidii
imagine ukipotea ndo jumla hata ukiongezewa miaka 100 itasaidia nini ?
Nimeipenda hiiInatosha sana, wajinga Ni wengi kuliko wenye akili. Ukiongeza miaka mingi wenye akili wataishi kwa tabu sana. Mfano ww huoni unavyowapa watu tabu humu, assume upewe miaka zaidi ya 100 ya kuishi.
Ili tu muendelee kutombana?Hebu nenda kwenye makaburi ya umma ya wakristo utarudi nyumbani na kusema asante Mungu.
Kumbe watanzania wengi hatutoboi 70,Yaani narehemu wengi ni miaka 50 kushuka chini,
Kwa mujibu wa sensa iliyopita idadi ya wazee kuanzia miaka 60 hawazidi 10 percent,
Serikali inashindwa nini kuwapa bima ya bure wazee hawaili waendelee kuishi?
Unajua ni kwa niniwaganga wa jadi husema tukaroge makaburini?
Makaburi mengi yamejaa marehemu waluokufa bila kutimiza ndoto zao,ndoto nyingi ziko makaburini kuliko duniani,umienda kuroga makaburini unachota ndoto za watu waliokufa bila kuzitimiza,
Kuna vijana waligraduate ule mwaka JPM anaingia ikulu mpaka leo hawana ajira,miaka 30+ hawajaoa ,hawana watoto,hawana kazi,alafu wanakufa miaka 20 ijayo,harusi nyingi High table kutakuwa hakuna waxazi ,wote marehemu.
Kwa wale matajiri nao wapate muda wa kula naisha kidogo,sio unakufa unaachia mali watu wengine hata hawajui zimeoatikanaje
Mungu tuongezee siku kwa kweli,mbona kwenye Biblia akina Yakobo waliishi miaka mingi
mamilioni ya miaka yamepita vizazi vinakuja vinaishi vinakufa vinakuja vingine, vinaishi vinakufa na range ya kuishi ndo hii tu,MImi binafsi kwa sasa sioni kwa nini nilizaliwa.
Ili iweje?
Alafu unafukiwa na kifusi cha ghorofa, unakufa🥲Mkuu fuata kanuni za afya kwenye maisha yako utaishi miaka mingi. Fuata ushauri wa Dr Janabi
population ingebaki kuwa Constant...🙄🙄Ukifa Tz siku hiyo hiyo unazaliwa nchi nyingine ila unakua na talent nyingine na wazazi wengine mfano ni Enzo Ferrari alikua ni mtengeneza magari alivyokufa akazaliwa akiwa Mesuit Ozil akawa mcheza mpira ila kazaliwa na sura ileile
Hebu nenda kwenye makaburi ya umma ya wakristo utarudi nyumbani na kusema asante Mungu.
Kumbe watanzania wengi hatutoboi 70,Yaani narehemu wengi ni miaka 50 kushuka chini,
Kwa mujibu wa sensa iliyopita idadi ya wazee kuanzia miaka 60 hawazidi 10 percent,
Serikali inashindwa nini kuwapa bima ya bure wazee hawaili waendelee kuishi?
Unajua ni kwa niniwaganga wa jadi husema tukaroge makaburini?
Makaburi mengi yamejaa marehemu waluokufa bila kutimiza ndoto zao,ndoto nyingi ziko makaburini kuliko duniani,umienda kuroga makaburini unachota ndoto za watu waliokufa bila kuzitimiza,
Kuna vijana waligraduate ule mwaka JPM anaingia ikulu mpaka leo hawana ajira,miaka 30+ hawajaoa ,hawana watoto,hawana kazi,alafu wanakufa miaka 20 ijayo,harusi nyingi High table kutakuwa hakuna waxazi ,wote marehemu.
Kwa wale matajiri nao wapate muda wa kula naisha kidogo,sio unakufa unaachia mali watu wengine hata hawajui zimeoatikanaje
Mungu tuongezee siku kwa kweli,mbona kwenye Biblia akina Yakobo waliishi miaka mingi
reincarnationUkifa Tz siku hiyo hiyo unazaliwa nchi nyingine ila unakua na talent nyingine na wazazi wengine mfano ni Enzo Ferrari alikua ni mtengeneza magari alivyokufa akazaliwa akiwa Mesuit Ozil akawa mcheza mpira ila kazaliwa na sura ileile
Kweli kabisa, Baltazar engonga ana 54 tuu kafanya makubwa, akiachwa afike 200 itakuwaje?Kama huna ubunifu hata ungepewa miaka 2000 bado hungefanya kitu, wenzio miaka hiyo hiyo wanafanya makubwa.
Ukimpa sababu zenye mashiko kwa kipimo chake anakuongezea hadi uanze kutamani kufa.Hebu nenda kwenye makaburi ya umma ya wakristo utarudi nyumbani na kusema asante Mungu.