EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Kitabu cha Wafilipi kinatuasa kushukuru kwa kila jambo.
Inasikitisha sana mtu wangu, mtu mwenyewe ndio anaejua uchungu wake,Pole jamaa inaonekana umelia sana kabla hujaandika,wakati unaandika na baada ya kuandika
π’ DuuhAngalia nidhamu yako binafsini, Tabia zako zinapatana na malengo?
Mungu, Kuomba , Maombi, havihusiani na mafanikio.
Kuna watu ni matajiri kupitia kuumiza watu, hawa Mungu hawaoni ili awaadhibu au?
You'll be freed when you accept that your life is all on you,,no God or prophet shall save youMimi sio bora kuliko wengine ila napambana kwa namna ilio haki, kwa namna ilio ya juhudi huku namtanguliza alioiumba dunia hii.
Kila nachogusa ni kama kiko allergic na mikono yangu, hakiwi ridhiki, hakikaii, watoto watakula nini, nimtamtunza vp huyu mrembo ambae Mungu alinijalia.
Mimi ni mpumbavu kuliko wote? Mimi ni mdhambi kuzidi wadhambi wengine?
Je, natwanga maji kwenye kuni? Je nasukuma ukuta? Maana baba jitihada yangu kukufikia hailingani na muelekeo nilio nao.
Mama anataabika, mimi nitaabika, mdogo wangu anataabika,
Nimemuona mama yangu akikuliliia miaka nenda miaka rudi ila bado amekuwa rafiki wa tabu na mateso,.
Je, baba yangu ni laana umeiruhusu katika nzao yake, je ni basi tu hatupo katika mipango ya baraka zako?
Nashuhudia tu makuu ya hii dunia, hata walio na dhambi wakifurahia kiasi, ila mimi nimekuwa cas study ya tabu
Mbona saul alikuwa muuaji ila ulimpa ukuu wa milele, mimi ni wa aina gani hadi niwe mtumwa wa dhiki kiasi hiki
Baba, nimekufanyia makubwa, nimekulilia, hata kama nilikosea ila ilikuwa ni kwa jina lako.
Kwanini utake kuruhusu nifanye maamuzi utafikiri mlugha mlugha ambae hajawi kukutumainia?
π₯Ή Yaaani...You'll be freed when you accept that your life is all on you,,no God or prophet shall save you
Hivi mkuu, kwa nini lakini, kwanini mkuu, kwaniniPole sana mkuu Dua kubwa ni "Shukurani"
Hivi mkuu, kwa nini lakini, kwanini mkuu, kwanini
Unakuta mtu aanshinda baa anafurahia maisha haya ila sisi tuliotubu , kushuuru na kusaidia vidogo kwa wengine tunataabika kiasi
Kwa nini mkuu, kwanini mkuu, Mungu yeye asili yake ni ipiππππππππ
Sijilanganishi nao, ila iko wapi haki ya Mungu
Amini kwenye uwezo wako, Maombi ni namna ambavyo unajiambia mwenyewe mfano hapo umesema mimi ni mpumbavu, mimi nina laana au unaposali kwa huyo Mungu wako wengi hua nawasikia mnasema Mimi ni dhaifu, sasa hicho unachoamini kwamba ndiyo wewe ndiyo matokeo yatakua hivyohovyo......π’ Duuh
Kumbe una watoto, mke wazazi na chumba cha kuishi. Nenda Palestina, Congo, Sudan na Beirut leo, utamshangilia MUNGU kwa mibaraka hiyo kujilinganisha nao.Mimi sio bora kuliko wengine ila napambana kwa namna ilio haki, kwa namna ilio ya juhudi huku namtanguliza alioiumba dunia hii.
Kila nachogusa ni kama kiko allergic na mikono yangu, hakiwi ridhiki, hakikaii, watoto watakula nini, nimtamtunza vp huyu mrembo ambae Mungu alinijalia.
Mimi ni mpumbavu kuliko wote? Mimi ni mdhambi kuzidi wadhambi wengine?
Je, natwanga maji kwenye kuni? Je nasukuma ukuta? Maana baba jitihada yangu kukufikia hailingani na muelekeo nilio nao.
Mama anataabika, mimi nitaabika, mdogo wangu anataabika,
Nimemuona mama yangu akikuliliia miaka nenda miaka rudi ila bado amekuwa rafiki wa tabu na mateso,.
Je, baba yangu ni laana umeiruhusu katika nzao yake, je ni basi tu hatupo katika mipango ya baraka zako?
Nashuhudia tu makuu ya hii dunia, hata walio na dhambi wakifurahia kiasi, ila mimi nimekuwa cas study ya tabu
Mbona saul alikuwa muuaji ila ulimpa ukuu wa milele, mimi ni wa aina gani hadi niwe mtumwa wa dhiki kiasi hiki
Baba, nimekufanyia makubwa, nimekulilia, hata kama nilikosea ila ilikuwa ni kwa jina lako.
Kwanini utake kuruhusu nifanye maamuzi utafikiri mlugha mlugha ambae hajawi kukutumainia?
kafanya hayo baba yake,mama yake,mdogo wake na yeye pia hakuna majibu.Kiimani hayo ni malalamiko na lawama na command kwa Mungu, dua nzuri kwa Mungu ni shukrani na sifa , hivi vilio na malalamiko mara nyingi hamnaga majibu mazuri.
Inauma sana mkuukafanya hayo baba yake,mama yake,mdogo wake na yeye pia hakuna majibu.
Mtoa mada kwanza ana fikra za kushindana au kuwa na Maisha kama ya watu flani.Mimi sio bora kuliko wengine ila napambana kwa namna ilio haki, kwa namna ilio ya juhudi huku namtanguliza alioiumba dunia hii.
Kila nachogusa ni kama kiko allergic na mikono yangu, hakiwi ridhiki, hakikaii, watoto watakula nini, nimtamtunza vp huyu mrembo ambae Mungu alinijalia.
Mimi ni mpumbavu kuliko wote? Mimi ni mdhambi kuzidi wadhambi wengine?
Je, natwanga maji kwenye kuni? Je nasukuma ukuta? Maana baba jitihada yangu kukufikia hailingani na muelekeo nilio nao.
Mama anataabika, mimi nitaabika, mdogo wangu anataabika,
Nimemuona mama yangu akikuliliia miaka nenda miaka rudi ila bado amekuwa rafiki wa tabu na mateso,.
Je, baba yangu ni laana umeiruhusu katika nzao yake, je ni basi tu hatupo katika mipango ya baraka zako?
Nashuhudia tu makuu ya hii dunia, hata walio na dhambi wakifurahia kiasi, ila mimi nimekuwa cas study ya tabu
Mbona saul alikuwa muuaji ila ulimpa ukuu wa milele, mimi ni wa aina gani hadi niwe mtumwa wa dhiki kiasi hiki
Baba, nimekufanyia makubwa, nimekulilia, hata kama nilikosea ila ilikuwa ni kwa jina lako.
Kwanini utake kuruhusu nifanye maamuzi utafikiri mlugha mlugha ambae hajawi kukutumainia?
Inaumiza sana duuYani watu badala tumpe mtoa mada mbinu za kujikwamua,tunasema tumuachie Mungu.!Duh
Uafrika ni laana,Mungu wabariki wazungu.