Mwenyezi Mungu, nifanye lipi ili ujibu ombi langu, niwe vipi ili unitue mzigo huu? Mbona ni kama umenifumbia macho hunioni

Pole jamaa inaonekana umelia sana kabla hujaandika,wakati unaandika na baada ya kuandika
Inasikitisha sana mtu wangu, mtu mwenyewe ndio anaejua uchungu wake,

Usimtazame mtu ukamkhukumu jujuu ila moyo wake ndio dunia yake 😭😭
 
Mimi sio bora kuliko wengine ila napambana kwa namna ilio haki, kwa namna ilio ya juhudi huku namtanguliza alioiumba dunia hii.

Kila nachogusa ni kama kiko allergic na mikono yangu, hakiwi ridhiki, hakikaii, watoto watakula nini, nimtamtunza vp huyu mrembo ambae Mungu alinijalia.

Mimi ni mpumbavu kuliko wote? Mimi ni mdhambi kuzidi wadhambi wengine?

Je, natwanga maji kwenye kuni? Je nasukuma ukuta? Maana baba jitihada yangu kukufikia hailingani na muelekeo nilio nao.

Mama anataabika, mimi nitaabika, mdogo wangu anataabika,

Nimemuona mama yangu akikuliliia miaka nenda miaka rudi ila bado amekuwa rafiki wa tabu na mateso,.

Je, baba yangu ni laana umeiruhusu katika nzao yake, je ni basi tu hatupo katika mipango ya baraka zako?

Nashuhudia tu makuu ya hii dunia, hata walio na dhambi wakifurahia kiasi, ila mimi nimekuwa cas study ya tabu

Mbona saul alikuwa muuaji ila ulimpa ukuu wa milele, mimi ni wa aina gani hadi niwe mtumwa wa dhiki kiasi hiki

Baba, nimekufanyia makubwa, nimekulilia, hata kama nilikosea ila ilikuwa ni kwa jina lako.

Kwanini utake kuruhusu nifanye maamuzi utafikiri mlugha mlugha ambae hajawi kukutumainia?
You'll be freed when you accept that your life is all on you,,no God or prophet shall save you
 
Pole sana mkuu Dua kubwa ni "Shukurani"
Hivi mkuu, kwa nini lakini, kwanini mkuu, kwanini

Unakuta mtu aanshinda baa anafurahia maisha haya ila sisi tuliotubu , kushuuru na kusaidia vidogo kwa wengine tunataabika kiasi hiki

Kwa nini mkuu, kwanini mkuu, Mungu yeye asili yake ni ipi😭😭😭😭😭😭😭😭

Sijilanganishi nao, ila iko wapi haki ya Mungu
 
Hivi mkuu, kwa nini lakini, kwanini mkuu, kwanini

Unakuta mtu aanshinda baa anafurahia maisha haya ila sisi tuliotubu , kushuuru na kusaidia vidogo kwa wengine tunataabika kiasi

Kwa nini mkuu, kwanini mkuu, Mungu yeye asili yake ni ipi😭😭😭😭😭😭😭😭

Sijilanganishi nao, ila iko wapi haki ya Mungu

Jifunze kushukuru Kwa kila jambo either liwe negative au positive

Jaribu kuelewa kuhusu universe na namna inavyofanya kazi.

Ukiwa negative person , mlalamikaji uta attaract the same situation .

Hakuna dua inayozidi shukurani na kutoa .

MTU kushinda bar , na Anasa mbalimbali haimaniishi hastahili kubarikiwa .

Badala ya kulalamika just say I deserve to go through this and I shall overcome.
 
😢 Duuh
Amini kwenye uwezo wako, Maombi ni namna ambavyo unajiambia mwenyewe mfano hapo umesema mimi ni mpumbavu, mimi nina laana au unaposali kwa huyo Mungu wako wengi hua nawasikia mnasema Mimi ni dhaifu, sasa hicho unachoamini kwamba ndiyo wewe ndiyo matokeo yatakua hivyohovyo......

Badili mtizamo anza kujiambia wewe ni
Tajiri, una nguvu, unajiamini, jiambie mimi sio mtu wa kukata tamaa unapojiambia mambo chanya unaiandaa akili yako kufanikiwa, akili yako inapata nguvu ya kupiga hatua....

Jivunie kwa kidogo ulichonacho Afya, pumzi, nguvu ya kufanya kazi, unapata walau kula, unapata cha kuvaa na kujifunika, Shukuru kwa hayo, kuna watu wanatamani kua wewe....

Kuliaia, Kulalamika, Kulaumu hiyo Miungu na Wazazi, Kukosoa siasa ni dalili za udhaifu, Kua Mtu Imara kuanzia leo, Chukua hatua juu ya Maisha yako, Acha kulialia, Kazana, Hakuna mtu atakurahisishia maisha, kama huyo mtu yupo bhasi ni wewe....
 
Mimi sio bora kuliko wengine ila napambana kwa namna ilio haki, kwa namna ilio ya juhudi huku namtanguliza alioiumba dunia hii.

Kila nachogusa ni kama kiko allergic na mikono yangu, hakiwi ridhiki, hakikaii, watoto watakula nini, nimtamtunza vp huyu mrembo ambae Mungu alinijalia.

Mimi ni mpumbavu kuliko wote? Mimi ni mdhambi kuzidi wadhambi wengine?

Je, natwanga maji kwenye kuni? Je nasukuma ukuta? Maana baba jitihada yangu kukufikia hailingani na muelekeo nilio nao.

Mama anataabika, mimi nitaabika, mdogo wangu anataabika,

Nimemuona mama yangu akikuliliia miaka nenda miaka rudi ila bado amekuwa rafiki wa tabu na mateso,.

Je, baba yangu ni laana umeiruhusu katika nzao yake, je ni basi tu hatupo katika mipango ya baraka zako?

Nashuhudia tu makuu ya hii dunia, hata walio na dhambi wakifurahia kiasi, ila mimi nimekuwa cas study ya tabu

Mbona saul alikuwa muuaji ila ulimpa ukuu wa milele, mimi ni wa aina gani hadi niwe mtumwa wa dhiki kiasi hiki

Baba, nimekufanyia makubwa, nimekulilia, hata kama nilikosea ila ilikuwa ni kwa jina lako.

Kwanini utake kuruhusu nifanye maamuzi utafikiri mlugha mlugha ambae hajawi kukutumainia?
Kumbe una watoto, mke wazazi na chumba cha kuishi. Nenda Palestina, Congo, Sudan na Beirut leo, utamshangilia MUNGU kwa mibaraka hiyo kujilinganisha nao.
 
Toa sadaka kwakile ulichojaliwa afu mwambie Mungu take control kumbuka pale mawazo yetu yanapofika mwisho ndipo Mungu anaanzia and always remember as along as your alive lipo tumaini katika yeye ....usiogope kuanza upya
 
Hakuna kitu cha maana na cha muhimu km kushukuru. Tunajiona tuna mikosi kwa sababu hatujapata tunachokitaka ila tunajisahau kuwa kuna neema na baraka nyingi Mungu Katujaalia pasi na kumuomba.
Kila kitu na wakati wake na wakati wa Allah ndio sahihi muhimu subra tu.
Unaweza kumuona mtu yupo vizuri kimaisha kwa sasa lkn akikuhadithia mazito aliyopitia utaona yako yana afadhali mara elfu.
Muombe Mungu, shukuru na subiri
 
kafanya hayo baba yake,mama yake,mdogo wake na yeye pia hakuna majibu.
Inauma sana mkuu

Mama yangu amekuwa mpendwa kwa watu ,asie na makuu ila tabu zinamtafuna kila siku, sasa hivi anatembea kapinda maana miguu inauma vibaya sana lakini ni mtu ambae miaka nenda rudi anamuomba Mungu

Nini maana Ya Mungu , nini maana yake 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Mimi sio bora kuliko wengine ila napambana kwa namna ilio haki, kwa namna ilio ya juhudi huku namtanguliza alioiumba dunia hii.

Kila nachogusa ni kama kiko allergic na mikono yangu, hakiwi ridhiki, hakikaii, watoto watakula nini, nimtamtunza vp huyu mrembo ambae Mungu alinijalia.

Mimi ni mpumbavu kuliko wote? Mimi ni mdhambi kuzidi wadhambi wengine?

Je, natwanga maji kwenye kuni? Je nasukuma ukuta? Maana baba jitihada yangu kukufikia hailingani na muelekeo nilio nao.

Mama anataabika, mimi nitaabika, mdogo wangu anataabika,

Nimemuona mama yangu akikuliliia miaka nenda miaka rudi ila bado amekuwa rafiki wa tabu na mateso,.

Je, baba yangu ni laana umeiruhusu katika nzao yake, je ni basi tu hatupo katika mipango ya baraka zako?

Nashuhudia tu makuu ya hii dunia, hata walio na dhambi wakifurahia kiasi, ila mimi nimekuwa cas study ya tabu

Mbona saul alikuwa muuaji ila ulimpa ukuu wa milele, mimi ni wa aina gani hadi niwe mtumwa wa dhiki kiasi hiki

Baba, nimekufanyia makubwa, nimekulilia, hata kama nilikosea ila ilikuwa ni kwa jina lako.

Kwanini utake kuruhusu nifanye maamuzi utafikiri mlugha mlugha ambae hajawi kukutumainia?
Mtoa mada kwanza ana fikra za kushindana au kuwa na Maisha kama ya watu flani.
Mtoa mada nakushauri pambania maisha yako kwenye njia yako usitamani ya mtu mwingine.
Alafu punguza malalamiko ukiwa mlalamikaji hutaona fursa mpya.
Maisha yanatupiga wote ila namna unavo react tu
 
Back
Top Bottom