Mwenza wangu amegoma kuachana na BodaBoda wake

Kifupi jamaa ameshapandwa kichwani na mwanamke. Unatoa amri kama baba mji mkewako anakuwa juu ya amri, Kuna shida pahala.
Kwanza huyo si mwenza wake tena ni mwenza wa bodaboda. Kama mimi nakatisha huduma zote zinazomuhusu yeye binafsi kisha naongeza huduma kwa mchepuko siombi mbususu wala nini akitakq kitu namwambia nenda kwa boda wako.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nakazia
✍️✍️✍️
 

Dah Umezidi kunivuruga mkuu
 
Mwambie huyo bodaboda ndoa yangu iko matatani ksbb yako. Kuanzia leo sitaki kukuona ukimbeba mke wangu. Ataleta habari za mwambie mkeo asinitafute yeye mimi nafuata hela,mwambie akikupigia fanya vyovyote mpige chenga,au kataa kabisa
 
[emoji3516][emoji3516][emoji123]
 
Mods lengo lenu la kueka hiyo picha ni nini? kunizidisha ghazabu au vipi?
 
Kuna msela humu jf alituambia ya kwamba alimuachia dem boda boda ili kwake isiwe tabu na ww fanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…