Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

Last week nilikuwa safari nimefika nyumbani Jumapili jioni sikujali uchovu wangu nikaomba mzigo ndio nikajua yupo kwenye siku zake. Hatahivyo siku zake zimevurugika sababu ya matumizi ya dawa za uzazi wa mpango.
Mzee mzima withdraw technique inakushinda hadi umuharibu mkeo na madawa?
 
Wanategeshaga ulimbo tu, muhimu kujiongeza
 
Bro umeshauri vizuri,naiona ndoa yako itakuwa ipo mikono salama.Na utakuwa kwasasa ushadumu ndoani kwa muda mrefu eti?

Ukweli hili mi pia nimeishi nalo muda sana.Baadaye nilikuja kuhitimisha kama wewe. Lakini kwangu cha ziada nilichogundua ni kwamba wanawake mara nyingi wakiwa busy hushindwa kuamsha hisia.Wangu anakuwa na kazi nyingi na gem mpaka kupimiwa ila halinishtui kwani nshajua kwamba kumpunguzia majukumu ndo suluhu ya hili.

Wanapenda out sana kuliko vitu vingine.Ukweli mfano itokee usiku huo amekatalia gem alaf hapo hapo mpeleke mazingira tofauti haki utapata bila wasiwasi!

Lakini pia kumuendekeza aishi kwa kupata kila anachohitaji nalo ni bomu jingine,bora saa nyingine umkazie.Ukweli wanahitaji kuwajulia kisha uishi nao kwa machale!
 
Mmh kwani we unaweza kuishi na hiyo technique kwa muda mrefu??
Hio haijawahi niangusha mkuu, huwa cha kwanza ni ratiba ya mbunye nikishaimasta amnaga mbami inaingia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Last week nilikuwa safari nimefika nyumbani Jumapili jioni sikujali uchovu wangu nikaomba mzigo ndio nikajua yupo kwenye siku zake. Hatahivyo siku zake zimevurugika sababu ya matumizi ya dawa za uzazi wa mpango.
Hizo dawa za uzazi wa mpango nazo zinachangia mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa
 
Ndg yangu iko hivi;
1. Ujitahidi sana wewe na mpenzi wako mbadilishe mazingira. Hii huleta afya ya mapenzi. Ikiwa mnaishibpamoja hata mara moja kwa mwaka jipinde mpeleke hotelini mlale huko au mshinde huko jioni mrudi home. Kitendo cha kubadili mazingira atakupa yote yote.

2. Wanawake tumepewa na Mungu na sio wagumu kama tunavyokuza bali wanahitaji uwa win mioyo yao kila wakati. Sisi ndio madereva hakikisha kwenye barabara mbovu pitisha gari taratibu...

3. Ni kweli huwezi kamwe kutimiza kila kitu bali unaweza kuipindua hoja yake kwa ushawishi...tumia ulimi vizuri sio kwa kunyonya kei tu bali kwa kusema naye mbona ni warahisi tu kukubali?
 
-Jini mahaba
-Hormone imbalance
-Hakupendi,yaani hana feelings na wewe
-Kuna mtu anambandua
-ujinga
 
Mmh nyie si necha yenu nasikia mmeumbwa kula mbususu tofauti tofauti....
Ni kweli wanasema huwezi kula ugali na mchicha kila siku. Lakini kumbuka kama huo ugali na mchicha UNAPEWA, angalau hata kama ni chipsi utakula mara moja moja za hamu. Ila inapotokea hata huo ugali mchicha HUPEWI au unapewa mara moja kwa mwezi aisee sasa usipoenda kwenye vibanda vya chipsi si utakufa njaa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Tatizo dogo Kama hili unalileta hapa mjukuu wangu?
Kwa kuanzia fanya hivi...
Kila simu yako ikiita ichukue fasta ukaongee ukiwa nje au mbali na wife.
Chelewa kurudi.
Thank me later
Haisaidii hiyo.sio kila mwanamke ana wivu,dawa apige punyenye mbele yake
 
๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€Unaongea experience ya wanaume asilimia 90 maisha wanayopitia kwenye ndoaaa... bila mate hatoboiii
 
Hizo dawa za uzazi wa mpango nazo zinachangia mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa
sema ndo hivyo bila huo uzazi wa mpango bhasi p2 nazo majanga tu au mtumie condomn ambapo ni ngumu... so ni MAJANGA njia za uzazi wa mpango mwanamke anakuwa DRY...HASIRA ZA AJABU...HAPENDI SEX...BLEED HAITABIRIKI..!! ukisema mtoe mtoto huyu hapaa so inavuruga sanaaa
 
Hongera mkuu kwa kazi nzuri. Jitahidi tu mama huyo afurahie. Na ukiona Bado bas tafuta tu njia mbadala manake mpenzi mmoja wakati mwingine ni pasua kichwa
 
Be romantic, safisha kinywa, oga, nukia, fanya maozi, chati nae ukiwa kazini kimahaba mpapase na mbusu everytime unapokuwa nae,mhame kidogo safiri,then pima upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ