Wanawake wakiolewa huwa wana tabia ya kuridhika na kuacha kutimiza mambo muhimu kama hayo.
Pili wanawake huwa wanakosa hisia ikiwa huwatimizii mahitaji yao..je hili likoje?.
Tatu ikiwa umeyumba kiuchumi pia huwa wanatabia kama hiyo...muda mwingi wanawaza na kuwa na stress.
Jambo muhimu..hebu jaribu kumtoa out, hakikisha anakula chochote na kunywa chochote akitakacho, uone mkirudi nyumbani kama atakunyima.
Mara nyingine wanaume tuwe wabunifu kwa hawa viumbe...miili yao husinyaa kwa vitu vidogo lkn pia huchangamka kwa vitu vidogo vya ubunifu.
ikishindikana👇👇👇
Kaa naye mweleze unavyojisikia...na umuonye kuwa tabia hiyo ikiendelea itakulazimu utafute. mwanamke mwingine.
Evelyn Salt TIA NENO HAPA PIA.