Mwenzako akinyolewa wewe zako tia maji

Food Security= National Security
Vetting ifanyike sana Kwa anateuliwa Kulead Hio Ministry mpaka Mkuu kuunda Tume maalumu ya Kumshauri kuhusu mambo ya Msosi hio inatoa Red alarm, Theory Nyingi kwenye Chakula zitatukwisha, Mtu mwenye njaa ya Chakula hatawaliki
 
Labda, mikopo itakayo mature iwe ili ya kijinga ya awamu ya tano, maana alizuiwa, kwa sera mbovu, akawa anakopa bila mpangilio kwa kulazimisha na mariba makubwa ya kibenki, full of nonsense!
 
Asante kwa taarifa!!

Kuna mbinyo wa njaa kali miaka mitatu na nusu huko mbeleni!!na hayo yataanza hivi karibuni!

Wapigaji wanapiga sana kama hawatopiga tena!

Maamuzi mabovu kunako wizara ya chakula yataligharimu taifa!

Nimeandika sana hilo serikali ifunge mipaka hata haikusikia kabisa!!

Ngoja ninunue chakula cha kutosha niweke ndani!!

Mungu ibariki TANZANIA!!
 
Kuna mtu alikuwa anafanya siasa kwenye chakula na matokeo tayari yapo hadharani, jana nimepita sokoni mchele kilo 3,700/=, sembe kilo 5 kwa mangi elfu 11, chakula kinaenda kuwa anasa kama kwa majirani ambapo bei ya unga ni moja ya ajenda ya maandamano.
 
Yule alisema tumuombee.... Ili utulivu uendelee kuwepo, nikabaki kukuna KICHWA....

Hivi, mwenye njaa ya kumkaribia kufa,anapataje utulivu!!!!!

Pia 2023 recession imetabiriwa kuzikumba Nchi nyingi duniani,

Cha kushangaza Badala ya kukopa kuimarisha Uchumi, pesa zinaibwa tena.

Hayana budi Kutokea kama yalivyotabiriwa.
 
Hatutashangaa,ukishirikiana na Shetani,na wewe lazima utakuwa na tabia za kishetani.Mimi bado najiuliza hivi kwa nini Kamala Harris aliitembelea Tanzania?Maana kama yanayotokea Marekani ndiyo wanayotaka yatokee Tanzania,tumekwisha.
 
Hiyo nchi ya jirani rais aliyondoka madarakani hakuacha akiba yoyote zaidi ya madeni yaliyoiva na lazima yalipwe kutokupoteza credit worthness halafu mambo yaendelee , hailingani na hali ya Bongo.
Kama ni mishara miaka mingapi Nduli hakuongeza na tupo tuu
 
Labda, mikopo itakayo mature iwe ili ya kijinga ya awamu ya tano, maana alizuiwa, kwa sera mbovu, akawa anakopa bila mpangilio kwa kulazimisha na mariba makubwa ya kibenki, full of nonsense!

Samia toka ameingia muda wa miaka miwili amekopa kiasi gani na kwa masharti yapi? Unaijua mikataba aliyo sign Rostam AZIZ alipoongozana nae kule U.S.A ilikuwa ni ya nini? Kukaa pembeni wakati Rostam ana sign ile mikataba maana yake yeye kama RAIS{ na hivyo Nchi] ndio inatoa guarantee ya hiyo mikataba!! Iwapo kutatokea lolote nchi ndio itabeba huo mzigo!!
Samia ni lazima awe muangalifu na hii mikataba kwani kuna vipengele nyeti huwa vinafichwa kwa kuandikwa kwa herufi ndogo hivyo kuwa vigumu kuvisoma na hivyo ndio baadae nchi inalazimika kulipa fidia kubwa sana mambo yakiharibika!
 
Kalamu Asante.
 
Bingwa wa hekaya za Juma na Uledi katika ubora wake, usipokuwa makini unaweza kumuita nabii lakini ni Mzee wa kamba hajawahi kutokea.
 
Je asilimia kubwa ya msosi ktk nchi hiyo ya Kusadikika unanunuliwa nje au unatoka mashambani mwa wananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…