BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda, mikopo itakayo mature iwe ili ya kijinga ya awamu ya tano, maana alizuiwa, kwa sera mbovu, akawa anakopa bila mpangilio kwa kulazimisha na mariba makubwa ya kibenki, full of nonsense!Wewe unaangalia orodha gani ya nchi masikini zinazodaiwa sana na TANZANIA haimo! Do not give yourself phsycological food, soon this country is going to default on its debt payment like its neighbour to the south! Serikali haitaki watu wafahamu hilo ndio maana wapambe wao wanawaomba wananchi wawaombee.
Asante kwa taarifa!!Igweeeeeeeee! Tetesi ni kwamba Watanzania tujiandae kisaikolojia na kama vile wahenga walivyowahi sema "Ukiona mwenzako ananyolewa basi wewe zako tia maji".
Ndugu za Watanzania, hapo nchi jirani pametokea jambo la kushangaza kidogo. Jambo ambalo kama ukiliangalia kwa jicho la tatu huwezi kusita kusema na mimi yanipasa kujianda kama Mtanzania. Kuna mambo yaweza kuwa ya kawaida ila kuna mambo yaweza kuwa sio ya kawaida katika Taifa na hatupaswi kufunga macho na kuimba mapambio wakati mambo sivyo kama yalivyo.
Samahani sitaki kumtaja jina, ila kwa mara ya kwanza nimesikia kiongozi mmoja mkubwa mstaafu alikisema tumuombe Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mimi moyoni nikasema Mh! Ni masikio yangu au naota? Well nikasema sina cha kushangaa ila najua yalishasemwa na wenye macho ya kuona mbele ya Taifa hili ila wakakejeliwa na kwa busara zao wakasema endeleeni.
Kiufupi, hawa ni miamba isiotikisika wala kutafuta
kupeleka bakuli ikulu kuomba msaada, either kwa watoto wao au familia zao. Nembo yao ni Jamuhuri, damu yao ni Jamuhuri chakula chao ni Jamuhuri na malazi yao ni Jamuhuri.
Kuna watu wapo usingizi wa pono ila huko vijijini wameuza mpaka na makopa ya mihogo na mtama, yaani hamna kitu. Mtu mmoja kwa tambwe kubwa amelifikisha Taifa kwenye mahali hakuna wakusema neno ila nikilio tu.
Unauza chakula cha familia kwa jirani tena kwa bei ndogo halafu unaenda kukinunua kwa Dola mbali zaidi, then unakuja kukiuza kwa bei ya chini ili watu wako wasife njaa! Halafu mtu bado ako ofisini anajiona Genius! Serikali ipo, Rais yupo, bunge lipo na usalama wapo. Sawa nisiandike sana.
Mataifa ya jirani wana njaa, hawana ukwasi kwenye serikali zao, na watu hawana nguvu ya kununua kiasi Taifa moja hata magari watu wameshindwa kununua, jambo ambalo limefanya wanunuzi kutekeleza magari bandarini. Sio hilo tu maisha yamepanda kiasi hata mishahara serikali ameshindwa kulipa kwa miezi mitatu, na sio hivyo tu serikali imesema ikiona vipi watapunguza watumishi.
Tofauti na nchi ya Kusadikika, data sio mali ya wananchi wala hakuna jicho la tatu kuangalia ukwasi na mali ya wana kusadikika kutokana na sababu ambazo zipo nje ya uwezo wa wana kusadikika.
Hakuna jicho la tatu katika chungu, hivyo akikwambia ana pesa wewe unakubali mwanakusadikia lakini ikumbukwe uchumi sio siasa na kamwe haiwezi kuwa siasa. Ila siasa nzuri zinaendana na uchumi mzuri japo siasa chafu huaribu uchumi.
Wanakusadikika msifikiri/asifikiri kile kimetokea nyumba ya jirani hakitowakut!a Ni dhahiri shahiri kujianda, tena kujiandaa sasa sio kesho.
Tetesi zinaonyesha hilo Taifa la klKusadikika ndio linalofuata, wala hupaswi kubeza maneno haya. Najua Wanakusadikika macho yao yapo Mei Mosi japo huenda nyota wa Kusadikika asiwepo kwenye hizo sherehe na kutuma mwakilishi.
Tetesi zinasema kwamba Wanakusadikika wanasubiri kwa hamu kuongezewa mishahara ila ukweli ni kwamba huenda, naomba msininukuu, huenda hilo lisiwepo kutokana na sababu siwezi ziandika hapa kutokana na bado hazijakuwa wazi katika tetesi hizi.
Wanakusadikika wanashauriwa ni lazima wajiandae Kisaikolojia kama wenzao nchi ya jirani, tena wao kilio chao kitakuwa cha ndani kwa ndani maana hakuna chombo kitarusha habari ya ndani ya Kusadikika kama vile hakuna chombo kinajua habari ya chungu.
Tetesi zinasema kwamba Wanakusadikika wajiandae kwa kuweka vyakula na kupunguza matumizi yasio ya lazima. Wanakusadikika wanashauriwa kusikiliza Vyombo vya Habari na kufungua akaunti kwa wingi JamiiForums, maana jogoo atakapowika mara ya kwanza mpaka ya tatu taarifa hiyo itavuja kwa mara ya kwanza kwenye mtandao wa JamiiForums.
Mwisho, Wanakusadikika wanashauriwa kuto sadiki kila kitu na akili yakuambiwa wachanganye na za kwao.😭🙏🙏🙏📜✉️📨🤐🤐🤐
Akiweka wazi zinafutwa, so message delivered.Ungeandika tu direct ungepungukiwa nini.
Unaweza kua na hoja lakini uwasilishaji ukaifanya kua kioja
nimeishia kupata kizunguzunguAliyeokota japo nukta moja ya jamaa hapo juu, anifahamishe, tafadhali...
Hatutashangaa,ukishirikiana na Shetani,na wewe lazima utakuwa na tabia za kishetani.Mimi bado najiuliza hivi kwa nini Kamala Harris aliitembelea Tanzania?Maana kama yanayotokea Marekani ndiyo wanayotaka yatokee Tanzania,tumekwisha.Igweeeeeeeee! Tetesi ni kwamba Watanzania tujiandae kisaikolojia na kama vile wahenga walivyowahi sema "Ukiona mwenzako ananyolewa basi wewe zako tia maji".
Ndugu za Watanzania, hapo nchi jirani pametokea jambo la kushangaza kidogo. Jambo ambalo kama ukiliangalia kwa jicho la tatu huwezi kusita kusema na mimi yanipasa kujianda kama Mtanzania. Kuna mambo yaweza kuwa ya kawaida ila kuna mambo yaweza kuwa sio ya kawaida katika Taifa na hatupaswi kufunga macho na kuimba mapambio wakati mambo sivyo kama yalivyo.
Samahani sitaki kumtaja jina, ila kwa mara ya kwanza nimesikia kiongozi mmoja mkubwa mstaafu alikisema tumuombe Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mimi moyoni nikasema Mh! Ni masikio yangu au naota? Well nikasema sina cha kushangaa ila najua yalishasemwa na wenye macho ya kuona mbele ya Taifa hili ila wakakejeliwa na kwa busara zao wakasema endeleeni.
Kiufupi, hawa ni miamba isiotikisika wala kutafuta
kupeleka bakuli ikulu kuomba msaada, either kwa watoto wao au familia zao. Nembo yao ni Jamuhuri, damu yao ni Jamuhuri chakula chao ni Jamuhuri na malazi yao ni Jamuhuri.
Kuna watu wapo usingizi wa pono ila huko vijijini wameuza mpaka na makopa ya mihogo na mtama, yaani hamna kitu. Mtu mmoja kwa tambwe kubwa amelifikisha Taifa kwenye mahali hakuna wakusema neno ila nikilio tu.
Unauza chakula cha familia kwa jirani tena kwa bei ndogo halafu unaenda kukinunua kwa Dola mbali zaidi, then unakuja kukiuza kwa bei ya chini ili watu wako wasife njaa! Halafu mtu bado ako ofisini anajiona Genius! Serikali ipo, Rais yupo, bunge lipo na usalama wapo. Sawa nisiandike sana.
Mataifa ya jirani wana njaa, hawana ukwasi kwenye serikali zao, na watu hawana nguvu ya kununua kiasi Taifa moja hata magari watu wameshindwa kununua, jambo ambalo limefanya wanunuzi kutekeleza magari bandarini. Sio hilo tu maisha yamepanda kiasi hata mishahara serikali ameshindwa kulipa kwa miezi mitatu, na sio hivyo tu serikali imesema ikiona vipi watapunguza watumishi.
Tofauti na nchi ya Kusadikika, data sio mali ya wananchi wala hakuna jicho la tatu kuangalia ukwasi na mali ya wana kusadikika kutokana na sababu ambazo zipo nje ya uwezo wa wana kusadikika.
Hakuna jicho la tatu katika chungu, hivyo akikwambia ana pesa wewe unakubali mwanakusadikia lakini ikumbukwe uchumi sio siasa na kamwe haiwezi kuwa siasa. Ila siasa nzuri zinaendana na uchumi mzuri japo siasa chafu huaribu uchumi.
Wanakusadikika msifikiri/asifikiri kile kimetokea nyumba ya jirani hakitowakut!a Ni dhahiri shahiri kujianda, tena kujiandaa sasa sio kesho.
Tetesi zinaonyesha hilo Taifa la klKusadikika ndio linalofuata, wala hupaswi kubeza maneno haya. Najua Wanakusadikika macho yao yapo Mei Mosi japo huenda nyota wa Kusadikika asiwepo kwenye hizo sherehe na kutuma mwakilishi.
Tetesi zinasema kwamba Wanakusadikika wanasubiri kwa hamu kuongezewa mishahara ila ukweli ni kwamba huenda, naomba msininukuu, huenda hilo lisiwepo kutokana na sababu siwezi ziandika hapa kutokana na bado hazijakuwa wazi katika tetesi hizi.
Wanakusadikika wanashauriwa ni lazima wajiandae Kisaikolojia kama wenzao nchi ya jirani, tena wao kilio chao kitakuwa cha ndani kwa ndani maana hakuna chombo kitarusha habari ya ndani ya Kusadikika kama vile hakuna chombo kinajua habari ya chungu.
Tetesi zinasema kwamba Wanakusadikika wajiandae kwa kuweka vyakula na kupunguza matumizi yasio ya lazima. Wanakusadikika wanashauriwa kusikiliza Vyombo vya Habari na kufungua akaunti kwa wingi JamiiForums, maana jogoo atakapowika mara ya kwanza mpaka ya tatu taarifa hiyo itavuja kwa mara ya kwanza kwenye mtandao wa JamiiForums.
Mwisho, Wanakusadikika wanashauriwa kuto sadiki kila kitu na akili yakuambiwa wachanganye na za kwao.😭🙏🙏🙏📜✉️📨🤐🤐🤐
Labda, mikopo itakayo mature iwe ili ya kijinga ya awamu ya tano, maana alizuiwa, kwa sera mbovu, akawa anakopa bila mpangilio kwa kulazimisha na mariba makubwa ya kibenki, full of nonsense!
Kama utarudi kukejeli baada ya jogoo kuwika mara tatu niite mjinga..Msiba wa march ulimuathiri sana, bado haamini
Kalamu Asante.Tuwaite wakuu 'MTAZAMO, JITEGEMEE na wengieo zaidi ya wanne walio'penda' yaliyoandikwa hapo waje watoe ufafanuzi wa taarifa za majungu kama hii.
Huyu mwandishi anajulikana kwa habari za kizushi zisizokuwa na msingi wowote, tena anazungukazunguka sana kupoteza lengo hata katika taarifa hizo za kizushi.
Ni kupoteza muda tu kusoma takataka za namna hii.
Lakini Jukwaa hili linakuwa Jukwaa kutokana na uwepo wa watu wa aina hii.
Jamaa alikuwa anaota na simu.Aliyeokota japo nukta moja ya jamaa hapo juu, anifahamishe, tafadhali...