Mwezi mmoja wa Ndoa Sasa Tangu niolewe na mwanaume ambaye nilimpata kupitia JF

Mwezi mmoja wa Ndoa Sasa Tangu niolewe na mwanaume ambaye nilimpata kupitia JF

Mbona mimi mume wangu tulikutana chuo japo walisema wa chuoni au mapenzi ya chuoni hayadumu. But now 9yrs together and still fresh and fine. Ishi maisha yako kuwa grateful. Mungu ni mwema sana na anakupa unachokitaka. Kile ukiwazacho ndicho huwa.
 
September 28 ,2019 nikiwa nimekosa uelekeo wa maisha ya kimahusiano nilikuja hapa jukwaani ,Nikasema natafuta Mume ,kiukweli uhitaji nilikiwa nao lakini sikuwa naamini kama huku nitapata mtu,pili niliogopa ningeonekana kuhuni au kutoaminika so ilikuwa kama njia TU ya kujiondolea stress
Naomba niwe sababu ya ndoa yako kuvunjika (mchepuko wako)
 
So una taka kusema nimekosea kuwapa mrejesho?
Achana na huyo nahisi ana wivu hizo changamoto za kawaida, la msingi nikupongeze sana kwa hatua hiyo,zaidi nafurahi kuona JF inazidi kuaminika. Umefanya jambo jema sana kuleta mrejesho na iwe funzo kwa mabinti/vijana wengine wasikariri kuwa wote waliomo JF ni waongo au wahuni kuna wengi wenye dhati ya moyo kwa kila wanachokisema na kukitenda. Nakutakia ndoa yenye kila mafanikio
 
Huyo muongo tu na anajifariji tu hapa kutoa upweke, mbona ameshindwa kupangua hoja ya mwamba aliyepandisha uzi wa 2020 wakati yeye kasema walianza kudate na huyo mume wake mwaka 2019?.

Kama kweli hafurahishi genge ajitokeze kuelezea huu mkanganyiko.

Back
Top Bottom