Mwezi mmoja wa Ndoa Sasa Tangu niolewe na mwanaume ambaye nilimpata kupitia JF

Achana na huyo nahisi ana wivu hizo changamoto za kawaida, la msingi nikupongeze sana kwa hatua hiyo,zaidi nafurahi kuona JF inazidi kuaminika. Umefanya jambo jema sana kuleta mrejesho na iwe funzo kwa mabinti/vijana wengine wasikariri kuwa wote waliomo JF ni waongo au wahuni kuna wengi wenye dhati ya moyo kwa kila wanachokisema na kukitenda. Nakutakia ndoa yenye kila mafanikio
Kweli mkuu kwan sio kila mtu anatabia za kihuni wngn hawana muda wakutongoza mitaani hivyo anapat muda wakuzungumza na watu wamitndaon akiamn atapat mtu sahih ila nawengn sio wema hivyo tuwe makin tu
 
Alafu huyo jamaa inaelekea hakuwepo kwenye kile kikao cha wajumbe eehhhh...😕 Maana hatukua tumekubaliana hivi...😎
 
Huu mrejesho uwe chachu kwa wadada wengine wasibadili ID wakija kwa hili swala.

Ila wakuu tuwe tu naanza na neno habari alafu lifuate jina na tumalizie na tunapoishi zaidi ya yote iwe Dar [emoji23]
 
Naona wadau wamempa vitisho dada wa watu akaamua kuutelekeza uzi wake...mabaharia sio watu wazuri!

Nasiche rudi shem kwenye uzi.
 
September 28 ,2019 nikiwa nimekosa uelekeo wa maisha ya kimahusiano nilikuja hapa jukwaani ,Nikasema natafuta Mume ,kiukweli uhitaji nilikiwa nao lakini sikuwa naamini kama huku nitapata mtu,pili niliogopa ningeonekana kuhuni au kutoaminika so ilikuwa kama njia TU ya kujiondolea stress walikuja watu wengi sana Pm Kwa sababu sikuweka vigezo hivyo sikuweza kumjibu yeyote.Niliamuwa kupost tena na kuchanganua nini nataka ,wapo wengi sana walinifata tena ,nilikuwa napitia post ya mtu mmoja baad ya mwingine katika wote nilijibu post Moja tu nayo iliandikwa hivi

Habari Mimi naitwa Frank nipo Dar naomba tufahamiane
Hii post ilikamata Moyo Wangu Kwa namna ambayo sikujuwa Kwa nini nilimjibu na baada ya siku kadhaa alireply ,tukapeana mawasiliano tukaonana.

Nilipomuona tu, nilijuwa nimemuona mume wangu, uwiiii he was so romantic,he was so caring he was so humble , handsome na Kila kitu (pita kwenye post zangu za nyuma).

Tumekaa kwenye mahusiano Toka 2019 mpaka tarehe 13/11/2021 tulipofunga pingu za maisha.

Nina mwezi mmoja Sasa kwenye Ndoa Namshukuru sana Mungu,Kwa kunipa mume mwenye Hofu ya Mungu na mwenye mapenzi ya dhati.

Mume wangu najuwa upo busy lakini Kuna siku utasoma huu ujumbe nashukuru Kwa kuniamini , nashukuru Kwa kunipenda nashukuru Kwa kuniowa.Isingekuwa rahisi kuaminika.

Moral of the story:Mtandaoni Kuna watu waongo ,waharibifu na walioshindikana lakini pamoja na hayo Kuna watu waaminifu na wazuri sana ,inakutaka kutulia kumuomba Mungu kabla ya kujiingiza kwenye mahusiano ya Mtandaoni.

Asante kama una swali uliza ,nipo free Leo nitamjibu kila mtu.

#Ukipitia post zangu za nyuma utaweza kuelewa zaidi.
All the best

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Aisee ongera sana, JF ni nzuri sana ukiitumia vyema kuna kila aina ya watu humu, ngoja nitoe kamkasa changu kidg kipindi natafuta kaz humu nilifanikiwa kuitwa moja ya interview zangu huko utumishi kiukwel nilikuwa sijui chochote ilinibid niingie jukwaa la ajira na kaz nilifukunyua lile jukwaa huwez amin nilipata nondo zote mtian wote ulikuwa JF, nini namaanisha hapa tutumie vzur jf inafaida sana wananzengo wenzangu pia siku moja nitauanzisha uzi tuombe uzima
 
Back
Top Bottom