Tumbo la binadamu lina chumba kimoja TU Cha kupokea na kuchakata vyakula vyote na aina mbalimbali, ndio maana binadamu anapata shida nyingi sana kiafya zinanazotokana na ulaji wa vyakula. Wanyama wooote kasoro nguruwe wanakula chakula Cha aina moja kama vile majani, nyama, matunda, punje za nafaka au mizizi.
Kila chakula kitachakatwa vizuri sana mwilini kama kitaliwa peke yake, mazingira ya tumbo na utumbo yataandaliwa maalumu kutokana na aina ya chakula utakachokula. Tumbo na utumbo vinachanganyikiwa kama vitapokea vyakula vya aina mbalimbali kwenye mlo.
Kama chakula ulichokula asubihi kitakutana tumboni na Cha mchana na cha jioni jua kwamba umekosea kula.hivi vyakula havipaswi kukutana huko tumboni. Sumu sumu sumu.
Fanya majaribio wewe mwenyewe kwa siku moja kula ugali/wali/chapati na nyama na matunda pamoja na siku nyingine kula nyama TU au ugali/wali/chapati na magarage, nyegele, na mboga za majani TU bila matunda Wala nyama hapohapo uone itakuwaje kwenye kupata haja kubwa.