Hivi vyakula pia vinategemea unakula kwa malengo gani, mfano hutaki kumlisha mchezaji mpira, boxing, athletic chakula ambacho kitamsababishia ajisikie kwenda kujisaidia haja kubwa katikati ya mechi!!!, Mchezaji wa mpira, boxing, athletic, na kazi ngumu zote lazima zikutane na chakula kinachoupa mwili nguvu za ziada na kinachosalia tumboni kwa muda mrefu (Nyama nyingi, mafuta, mayai, ugali, ubwabwa, nk. Ziko lishe ambazo ni fixed kwa watu fixed. Vinginevyo wewe mlaji ndiye unaesema nataka yai likauke sana au lisikaukeAh wee acha zako bwana kwenye hizi five star hotels wana wataalam hadi wakuwapikia high perfomance athletes na tunaona kabisa wanachanganya carb na protein na vegetables kwenye mlo mmoja
Lengo kuu la kufunga ni kumaliza vitambi(mafuta mwilini) na kupunguza uzito, pia kutoa fursa kwa ini lako kupata afya kwa kupunzika na kupona majeraha. Kama lengo ni hilo basi hakikishe kuwa wakati wa kufuturu na kula daku hufanyi fujo tena za kula mafuta mengi, nyama nyingi, sukari nyingi, na wanga mwingi tena. Utaondoa maana ya kufunga kwako. Kufunga lazima ukonde kidogo na watu wakuone umepungua kweli. Kama umefunga lakini tumbo limejaa chakula siku nzima hapo hujafunga alooo.1)Wanaofunga ,wanapofuturu na daku jumla wanaongoza calories ngapi on average ukilinganisha na milo yao wakiwa hawajafunga?
2) watu Wanaofunga,wakija kumaliza mfungo uzito huongezeka au kupungua?
Nazungumzia practice ya watu,yanayofanyikaLengo kuu la kufunga ni kumaliza vitambi(mafuta mwilini) na kupunguza uzito, pia kutoa fursa kwa ini lako kupata afya kwa kupunzika na kupona majeraha. Kama lengo ni hilo basi hakikishe kuwa wakati wa kufuturu na kula daku hufanyi fujo tena za kula mafuta mengi, nyama nyingi, sukari nyingi, na wanga mwingi tena. Utaondoa maana ya kufunga kwako. Kufunga lazima ukonde kidogo na watu wakuone umepungua kweli. Kama umefunga lakini tumbo limejaa chakula siku nzima hapo hujafunga alooo.
Asante,ila swali kwa nin juice au uji usio na sukari,tupe somo sukari inaleta uharibifu gani ukianza nayo? Najua sukari siyo nzr ikizidi ila fafanua Hapo kidogo
Bahati mbaya sana baada ya kumaliza kufunga utavikuta viungo vyote Sasa vina afya njema sana, ni vipya. Hivyo kama baada ya kumaliza kufunga utarudia tabia yako ya kula bila kuzingatia mahitaji ya mwili wako basi utanenepa sana kuzidi msimu uliopita kabla ya Saumu.1)Wanaofunga ,wanapofuturu na daku jumla wanaongoza calories ngapi on average ukilinganisha na milo yao wakiwa hawajafunga?
2) watu Wanaofunga,wakija kumaliza mfungo uzito huongezeka au kupungua?
Ni kama juice ambayo Matunda yanachanganywa na maziwa +asali au sukariSmooth inatayarishwaje?
Mkuu, nazungumzia just before kuanza kufunga na just before kumaliza mfungo ,eitha iwe ni wa siku 30 au 40. Tofauti ya uzito ni positive au negative?Bahati mbaya sana baada ya kumaliza kufunga utavikuta viungo vyote Sasa vina afya njema sana, ni vipya. Hivyo kama baada ya kumaliza kufunga utarudia tabia yako ya kula bila kuzingatia mahitaji ya mwili wako basi utanenepa sana kuzidi msimu uliopita kabla ya Saumu.
Achana na takataka za hivyo, ndio maana siku hizi kuna malalamiko mengi ya kiafya kama kama upungufu wa nguvu za kiume Kansas, nk. Sio kila kitu kitamu kina Afya. Mfano huo mchanganyiko sio mzuri kwa sababu MAZIWA ya madini mengi ya chokaa ambayo yanakama madini mengine yasifyonzwe mwiliniNi kama juice ambayo Matunda yanachanganywa na maziwa +asali au sukari
Bahati mbaya wAnaofunga WANAFIKIRIA KWENDA mbinguni kwa kuacha kula mchana, hivyo wakati wa KUFUNGUA JIONI WANAKULA CHAKula kingi sana usiku. Ni kama vile wamebadilisha tu MCHANA IWE USIKU N usiku uwe mchana. Wanakula. Calories nyingi sana usiku kwenye futari ya Magimbi, mihogo. Tambi, uji, tende, halua mafuta, nyama, sukari, Matunda, mara daku Nzito yeNaMkuu, nazungumzia just before kuanza kufunga na just before kumaliza mfungo ,eitha iwe ni wa siku 30 au 40. Tofauti ya uzito ni positive au negative?
Swali la kwanza nimekuuliza kiasi cha calories kinacholiwa na wafungaji kabla ya kufunga na kiasi kinacholiwa whole night wakati wa kufungua,kupi kuna total calories nyingi on average?
CHAKula kinaliwa hivi, asubihi kingi sana, mchana kidogo na usiku kidogo sana. Vingi wa chakula Utategemea mahitaji Ya mwili: umri, kazi na Afya ya mlaji. Hata hivyo mwili unahitaji makundi 6 ya vyakula kila siku ambayo ni vyakula vya kutia mwili nguvu, kujenga mwili, kulinda mwili, kulainisha haja kubwa (roughage), mafuta, na Maji Safi ya kunywa. Hakikisha kuwa makundi yote haya unayapata Kila siku. Cha kuzingatia tu usichanganye PAMOJA NYAMA NA UGALi/CHAPATI/UBWABWa/Magimbi, nk, Matunda yaliwe kwenye tumbo tupu, maziwa yanywewe YENYEWE tu kwa wakati wake. Mpangilio utaujuwa wewe.Mleta Mada asante kwa uzi huu wenye Elimu kubwa.
Naomba utuwekee ratiba ya chakula kwa wiki nzima kwa familia ya watu watano kwa kuzingatia balanced diet na kipato cha kawaida.
Nijibu tafadhali
Tumbo la binadamu lina chumba kimoja TU Cha kupokea na kuchakata vyakula vyote na aina mbalimbali, ndio maana binadamu anapata shida nyingi sana kiafya zinanazotokana na ulaji wa vyakula. Wanyama wooote kasoro nguruwe wanakula chakula Cha aina moja kama vile majani, nyama, matunda, punje za nafaka au mizizi.Mie nauliza hii mambo ya kusema usichanganye chakkula hiki au kile kwani utumbo nao una compartments za aina tofauti za vyakula? Meanning vyakula tumbni havichanganyiki?
Hizi sasa somjo...watu tunagonga buffet za maana zenye mchanganyiko wa soup mkate nyama matunda mboga mboga magimbi karanga na bado unapata choo kwa muda ule ule kila siku.Tumbo la binadamu lina chumba kimoja TU Cha kupokea na kuchakata vyakula vyote na aina mbalimbali, ndio maana binadamu anapata shida nyingi sana kiafya zinanazotokana na ulaji wa vyakula. Wanyama wooote kasoro nguruwe wanakula chakula Cha aina moja kama vile majani, nyama, matunda, punje za nafaka au mizizi.
Kila chakula kitachakatwa vizuri sana mwilini kama kitaliwa peke yake, mazingira ya tumbo na utumbo yataandaliwa maalumu kutokana na aina ya chakula utakachokula. Tumbo na utumbo vinachanganyikiwa kama vitapokea vyakula vya aina mbalimbali kwenye mlo.
Kama chakula ulichokula asubihi kitakutana tumboni na Cha mchana na cha jioni jua kwamba umekosea kula.hivi vyakula havipaswi kukutana huko tumboni. Sumu sumu sumu.
Fanya majaribio wewe mwenyewe kwa siku moja kula ugali/wali/chapati na nyama na matunda pamoja na siku nyingine kula nyama TU au ugali/wali/chapati na magarage, nyegele, na mboga za majani TU bila matunda Wala nyama hapohapo uone itakuwaje kwenye kupata haja kubwa.
Muda uleule ukimaanisha nini? Kwahiyo unataka kusema breakfast, lunch na dinner havikutani tumboni? Au nn?Hizi sasa somjo...watu tunagonga buffet za maana zenye mchanganyiko wa soup mkate nyama matunda mboga mboga magimbi karanga na bado unapata choo kwa muda ule ule kila siku.
Hii nadharia yako kwa kweli mie napingana nayo from personal experience
Kama unagonga msosi kwa aina hiyo basi jiandae kunenepa sana, kukosa nguvu za kuona na kiume, pressure, uzito na kuzeeka mapema.Hizi sasa somjo...watu tunagonga buffet za maana zenye mchanganyiko wa soup mkate nyama matunda mboga mboga magimbi karanga na bado unapata choo kwa muda ule ule kila siku.
Hii nadharia yako kwa kweli mie napingana nayo from personal experience
Hamna kitu hicho mie nagegeda mbususu tatu kwa mpigo na sina litumbo hhata kidogoKama unagonga msosi kwa aina hiyo basi jiandae kunenepa sana, kukosa nguvu za kuona na kiume, pressure, uzito na kuzeeka mapema.
Unajidanganya mwenyewe kaka, hata mbuzi, Kuku, ng'ombe, sungura, nk unapotaka kuwanenepeaha unawatoa kwenye mlo wao wa asili na kulivuruga tumbo lao kwa kuwapa vyakula mchanganyiko. Ukila hivyo utapona TU kama utafanya mazoezi mazito ya gym, boxing, riadha,nk. Vinginevyo after 40 you will notice the difference.Hizi sasa somjo...watu tunagonga buffet za maana zenye mchanganyiko wa soup mkate nyama matunda mboga mboga magimbi karanga na bado unapata choo kwa muda ule ule kila siku.
Hii nadharia yako kwa kweli mie napingana nayo from personal experience