Siku moja nipo zangu home nafua nguo zangu,jirani yangu chumba cha pili alifungulia redio kwa sauti alafu akaacha mlango wake wazi..alikuwa anasikiliza mawaidha ya shehe mmoja wa Mombasa(simjui jina lake Ila sauti yake maarufu sn masikioni kwangu)
Yule shehe alikuwa anafundisha Kwa lugha kali sn yenye misimamo ya kikatili dhidi ya watu wasiokuwa waislamu (alikuwa anawaita makafir),waumini wanaitikia takbiiir
Kukujibu swali lako sista ni kwamba ni ngumu sn kumkuta kiongozi wa kikristo anahubiri Kwa chuki na lugha yenye kuashiria uvunjifu wa Amani,na km wapo lazima wakamatwe pia
Hata mashehe si wote wenye kuhubiri Kwa lugha zenye ukakasi ndiyo maana tunaishi nao Tu mtaani vizuri
Tafuta mahubiri ya Yule shehe mkenya aliyeanzisha kikundi cha kigaidi kule Palma msumbiji ndy utaelewa ninachozungumza Kwa nn watu wa Aina hii hatuwaachi mtaani
Sent from my CPH1923 using
JamiiForums mobile app